Mliooa/olewa ,mlio na wachumba/mahawara ambao ni wezi

Kuna mwanamke mmoja hivi yeye kiasili sio mwizi hata alikua akikuta hela kwenye suruali na mimi nimesahau ananirudishia tatizo lake ni wivu, wivu wa dunia nzima yani nikipigiwa simu na sauti ikasikika ni ya mwanamke hata kama alikua anafanya nini lazima aache aje asikilize naongea nini, lazima aulize nani huyo? Hapo hua ananikera mpaka basi..sisalimiani hadi na majirani, hakuna wa kumchekea hata jirani, nikifanya hivyo mtu atanuna mpaka kupasuka..
Tubadilishane basi mkuu chukua wangu nipe wako , huyo mwenye wivu Mimi Wala hanisumbui
 
Usioe mwanamke mwizi. Mke wangu ukimpa 100,000 akanunue kitu akafika kule bei imeshuka, akirudi atakwambia na change anakupa. Akifanya hivyo unamwambia usijali mama hiyo kasukie nywele, au kama katumia atakwambia ilibaki pesa kiasi fulani nikanunua kitu fulani. Kwa huu uzi ulioandika umenifanya nizidi kuamini kuwa mke wangu ni mtu wa muhimu sana
Muda ni mchawi wa mambo mengi,ila asipobadilika asee mkuu Upo pazuri
 
Kuna mwanamke mmoja hivi yeye kiasili sio mwizi hata alikua akikuta hela kwenye suruali na mimi nimesahau ananirudishia tatizo lake ni wivu, wivu wa dunia nzima yani nikipigiwa simu na sauti ikasikika ni ya mwanamke hata kama alikua anafanya nini lazima aache aje asikilize naongea nini, lazima aulize nani huyo? Hapo hua ananikera mpaka basi..sisalimiani hadi na majirani, hakuna wa kumchekea hata jirani, nikifanya hivyo mtu atanuna mpaka kupasuka..
Mmmmmm pole sana mkuu
 
Hahahaha pole man tupo wengi tunavumilia tu coz ndio Mungu kakupa huyo
 
Miongoni wa hao ni wale wenye haiba ya kimaskini basically ni mama wa nyumbani hawana source nyingine ya fedha ya kutatua matatizo yao kama kusuka kununua pedi.vocha nk.halafu wewe mwenyewe akikuomba fedha unamzingua

dawa ni kumpatia hela ya matumizi yake madogomadogo
 
Kama akiomba unampa kwanini atumie njia zingine za mkato?
 
Back
Top Bottom