Mliooa/olewa ,mlio na wachumba/mahawara ambao ni wezi

Samawia

JF-Expert Member
Dec 6, 2017
594
457
Mnapambanaje na hiyo changomoto,akikuta 50,000 mfukoni anakwapua,akijua pin yako ya M pesa Tigo nk shida,ukimuweka kwenge genge auze tabu tupu,ukimuweka dukani balaa tupu,ukimpa hela akanunue 1 kg ya nyamba au sukari atanunua ¾,hata ukimpa pesa akanunue nguo za watoto ataongeza bei,yaani yeye kila panapo husu pesa uaminifu kwake zero,unafanyaje?
 
Usioe mwanamke mwizi. Mke wangu ukimpa 100,000 akanunue kitu akafika kule bei imeshuka, akirudi atakwambia na change anakupa. Akifanya hivyo unamwambia usijali mama hiyo kasukie nywele, au kama katumia atakwambia ilibaki pesa kiasi fulani nikanunua kitu fulani. Kwa huu uzi ulioandika umenifanya nizidi kuamini kuwa mke wangu ni mtu wa muhimu sana
 
Mkuu, kuna kanuni moja ya zamani kidogo nilikuwa naitumia ilisema.... If you cannot isolate, then better remove the subject..
 
Mnapambanaje na hiyo changomoto,akikuta 50,000 mfukoni anakwapua,akijua pin yako ya M pesa Tigo nk shida,ukimuweka kwenge genge auze tabu tupu,ukimuweka dukani balaa tupu,ukimpa hela akanunue 1 kg ya nyamba au sukari atanunua ¾,hata ukimpa pesa akanunue nguo za watoto ataongeza bei,yaani yeye kila panapo husu pesa uaminifu kwake zero,unafanyaje?
JANGA SUGU LA WAZAWA !!!!
 
Usioe mwanamke mwizi. Mke wangu ukimpa 100,000 akanunue kitu akafika kule bei imeshuka, akirudi atakwambia na change anakupa. Akifanya hivyo unamwambia usijali mama hiyo kasukie nywele, au kama katumia atakwambia ilibaki pesa kiasi fulani nikanunua kitu fulani. Kwa huu uzi ulioandika umenifanya nizidi kuamini kuwa mke wangu ni mtu wa muhimu sana

Ni PM number yake mkuu, nataka nijaribu kukosea kumtumia pesa. Nione kama atarejesha.
 
Usioe mwanamke mwizi. Mke wangu ukimpa 100,000 akanunue kitu akafika kule bei imeshuka, akirudi atakwambia na change anakupa. Akifanya hivyo unamwambia usijali mama hiyo kasukie nywele, au kama katumia atakwambia ilibaki pesa kiasi fulani nikanunua kitu fulani. Kwa huu uzi ulioandika umenifanya nizidi kuamini kuwa mke wangu ni mtu wa muhimu sana
Hongera sana mkuu!

"Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani"- Mithali 31:10.
 
Mnapambanaje na hiyo changomoto,akikuta 50,000 mfukoni anakwapua,akijua pin yako ya M pesa Tigo nk shida,ukimuweka kwenge genge auze tabu tupu,ukimuweka dukani balaa tupu,ukimpa hela akanunue 1 kg ya nyamba au sukari atanunua ¾,hata ukimpa pesa akanunue nguo za watoto ataongeza bei,yaani yeye kila panapo husu pesa uaminifu kwake zero,unafanyaje?
Huyo ni mwizi mkuu achana nae
 
Kuna mwanamke mmoja hivi yeye kiasili sio mwizi hata alikua akikuta hela kwenye suruali na mimi nimesahau ananirudishia tatizo lake ni wivu, wivu wa dunia nzima yani nikipigiwa simu na sauti ikasikika ni ya mwanamke hata kama alikua anafanya nini lazima aache aje asikilize naongea nini, lazima aulize nani huyo? Hapo hua ananikera mpaka basi..sisalimiani hadi na majirani, hakuna wa kumchekea hata jirani, nikifanya hivyo mtu atanuna mpaka kupasuka..
 
Usioe mwanamke mwizi. Mke wangu ukimpa 100,000 akanunue kitu akafika kule bei imeshuka, akirudi atakwambia na change anakupa. Akifanya hivyo unamwambia usijali mama hiyo kasukie nywele, au kama katumia atakwambia ilibaki pesa kiasi fulani nikanunua kitu fulani. Kwa huu uzi ulioandika umenifanya nizidi kuamini kuwa mke wangu ni mtu wa muhimu sana
Hongera Sana Mkuu, naamini huyo hata kuchepuka hachepuki kabisa
 
Kuna mwanamke mmoja hivi yeye kiasili sio mwizi hata alikua akikuta hela kwenye suruali na mimi nimesahau ananirudishia tatizo lake ni wivu, wivu wa dunia nzima yani nikipigiwa simu na sauti ikasikika ni ya mwanamke hata kama alikua anafanya nini lazima aache aje asikilize naongea nini, lazima aulize nani huyo? Hapo hua ananikera mpaka basi..sisalimiani hadi na majirani, hakuna wa kumchekea hata jirani, nikifanya hivyo mtu atanuna mpaka kupasuka..
Run nigga run
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom