AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,894
Tujaribu kuwasikiliza, hebu ninyi mlionunua vyeti, njooni hapa mdiscuss, tuelewesheni kwanini mlifanya hivyo halafu mmekuja kushindana na watu tuliosotea ? pengine mnaweza kuleta maelezo ya kueeleweka tukawaonea huruma labda mlikuwa mnatafuta maisha. kwanini mlidanganya? kama mlifanya hivyo, mnafaa kugombea hata ubalozi wa mtaa tu?