Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 14,521
- 25,506
Watanzania wamepata adhabu kuongozwa na huyo jamaa hajui kitu na hana hekima na busara za uongozi...
Umenena vyemaHaya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.
Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].
Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?
Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?
Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.
Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.
Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
Hata iweje lakini siyo kwa Wapinzani kupewa Dola. Hawajakomaa na wanategemea makapi ya CCM. Hatuwezi kuweka Nchi Rehani namna hiyo!!Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.
Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].
Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?
Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?
Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.
Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.
Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
over my dead body too!Ndo maana kura yangu ilienda kwa yule mama wa ACT.
I just couldn't bring myself to voting for either Magufuli or Lowassa.
And I don't think I'll ever vote for CCM in my lifetime.
Ukweli mtupuMiafrica tunachagua kwa kigezo cha mihemko. Si mtu wala sera.
Lowasa alishinda kwenye uchaguzi kwa 62% hutaki acha.
Tunaisoma namba wote bila kupepesa macho Miafrica ndivyo Tulivyo.
tulikua hatutaki yule fisadi mwenye uchu wa madaraka kushika inchi mamviiiHaya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.
Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].
Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?
Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?
Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.
Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.
Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
navyo mpenda rais wangu yaani naisubili 2020 tuHaya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.
Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].
Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?
Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?
Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.
Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.
Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
haa haa acheni kufukua makaburi bhanaJamaa kasahau hili andiko lake,ngoja tuendelee kulipandisha juu mpaka alisome tena
Labda tujiulize ....hivi mliompigia kura EL ...mliipigia kura Chadema au EL? ....Kama mlipigia chadema ....chadema ni nini? Mbowe? Mliwahi kuhoji kauli za viongozi wenu kabla hamjafanya uchaguzi? K
ama mliichoka CCM ...CCM ni watu ...je mlichoka jina la CCM au watu waliowafikisha hapa? Mliokuwa mkiwapigia debe mnawatenganisha vipi na hili? Tuache siasa tujitambue na kusimamia haki kwa faida ya taifa la kesho.
na bado 2020 tunaye jpmUnadhani yy hajui alipata kura ngapi?anajua kura zake ndio maana hataki wenzake wafanye siasa.roho inamuuma
mkuu, huyu jamaa anayejiita Nyani Ngabu naona imeshindikana kabisa kwake kujitambua pamoja na kuishi kwake ughaibuni!Huyu jamaa alipiga u-turn lini? Maana hii ameandika mwaka 2016!