Mliompigia debe Magufuli nawauliza swali...

Watanzania wamepata adhabu kuongozwa na huyo jamaa hajui kitu na hana hekima na busara za uongozi...
 
Nyani Ngabu, unalo. Nini kimekutokea? Kweki njaa haijawahi kumuacha mtu salama!
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
Umenena vyema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata iweje lakini siyo kwa Wapinzani kupewa Dola. Hawajakomaa na wanategemea makapi ya CCM. Hatuwezi kuweka Nchi Rehani namna hiyo!!
 
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
tulikua hatutaki yule fisadi mwenye uchu wa madaraka kushika inchi mamviii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na
Haya sasa...naona tarakimu zinaanza kusomeka vizuri kwa wote.

Sasa naomba niwaulize swali nyote nyie mliomuunga mkono MTUKUFU Magufuli na CCM yake kwenye uchaguzi mkuu ulopita [2015].

Hivi ni kitu gani mlichokiona kwa huyo jamaa hadi mkaamua kumuunga mkono na kumpigia debe awe ndo amiri jeshi mkuu?

Mliamua hivyo kwa hasira za kusalitiwa na CHADEMA au mliamua hivyo kwa kuangalia sifa alizokuwa nazo?

Na kwani ilikuwa ni lazima mumuunge mkono yeye? Manake wagombea hawakuwa Lowassa na yeye tu.

Oh well....acha tu hizo tarakimu zisomeke sasa. Labda ndo tutatia akili huko mbeleni.

Huyo mtu ana mazuri yake machache mno na mabaya yake ni mengi zaidi.
navyo mpenda rais wangu yaani naisubili 2020 tu
 
Labda tujiulize ....hivi mliompigia kura EL ...mliipigia kura Chadema au EL? ....Kama mlipigia chadema ....chadema ni nini? Mbowe? Mliwahi kuhoji kauli za viongozi wenu kabla hamjafanya uchaguzi? K
ama mliichoka CCM ...CCM ni watu ...je mlichoka jina la CCM au watu waliowafikisha hapa? Mliokuwa mkiwapigia debe mnawatenganisha vipi na hili? Tuache siasa tujitambue na kusimamia haki kwa faida ya taifa la kesho.

Swafi sana, hapo umeongea vizuri.
Tatizo watanzania wanashangilia siasa kama wanavyo shangilia mpira. Ukiwa sima au yangu basi hutakikusikia team nyingine. Ndio walivyo.
 
Back
Top Bottom