Mliokuwa mnamdhihaki beki wa Taifa stars the captain Bakari Nondo Mamunyeto mbona mmekaa kimya sana.

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,176
12,647
Kuna kipindi Nondo Mamunyeto alipitia wakati mgumu (changamoto binafsi) zilizo mfanya kiwango kishuke.

Waliibuka wachambuzi (wa mchongo) wakishinikizwa na ushabiki maandazi wakaanza kumuita/kumfananisha na beki wa Man U (MAGURE) kutokana na makosa aliyokuwa akiyafanya.

Sasa hivi Bakari Nondo Mamunyeto ana kiwango Bora sana na wachambuzi wa Mchongo wamefumba Macho wanasubiri akosee.

NALIA NGWENA nachukua nafasi hii kumpa maua ya kutosha the captain Bakari Nondo Mamunyeto

Hakika ni beki wa mpira haswaa.
1685875574137.jpg
 
Kama Kibu Denga..wakati mwingine kusakamwa inasaidia..Nawapongeza utopolo kwa hatua nzuri mliyofika.
 
Back
Top Bottom