Mliokuwa ' mkimcheka ' Rais JPM kwa kupokea Ndege zake ' mchekeni ' pia na Rais Museveni anayepokea Ndege sasa

Kuna Watanzania walikuwa na ' dhihaka ' za kila aina ( GENTAMYCINE hayupo ) kwa Rais Dkt. Magufuli hasa pale alipokuwa akizipokea Ndege zako kadhaa zilipowasili na ' wakimcheka ' labda wakimuona ni Mbwigira / Mshamba wakati kumbe ilikuwa ni haki yake kama Rais wa nchi.

Haya hivi sasa Raia wa Uganda Mzee Museveni nae anapokea bonge la ' Dege ' huko Kwake nchini Uganda. Kama vipi mchekeni na mdhihakini na Yeye pia ili tujue kuwa mna ' Usawa ' hasa katika ' Ukosoaji ' wenu na siyo kwamba pengine kuna Watu mna Visununu / Chuki tu kwa Mzee wa Watu Rais Dkt. Magufuli.

Nawasilisha.

Chanzo taarifa: NTV Uganda.
Jiangalie kubwa jinga.
Screenshot_20190504-222357.jpeg
 
uhuru naye alipokea 787 yao. Na kuiaga kuelekea marekani. Na aijaenda tena
 
Mbona Kenyatta naye alipokea Dreamliners!. Wabongo huwawezi.kwa kumlaumu JPM kwa vile kakata njia za mkato walizozowea.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom