Mlioielewa Kauli hii ya Kimafumbo ya huyu Mzee niliyepanda nae Daladala leo asubuhi nisaidieni Kunielewesha

Huna unachokifahamu mkuu, waliomba kikao na Rais na walikutana Ikulu jana saa kumi, kikao hicho ndio ilikuwa sababu kubwa ya wao kwenda na hilo ndo linalozungumziwa hapa na huyo mzee.
 
Huna unachokifahamu mkuu, waliomba kikao na Rais na walikutana Ikulu jana saa kumi, kikao hicho ndio ilikuwa sababu kubwa ya wao kwenda na hilo ndo linalozungumziwa hapa na huyo mzee.
Leta ushahidi wa kikao hicho Cha Ikulu, mkuu, acha maneno ya vijiweni.
 
Kwa ulichoongea unadhihirisha mahakama na mahakimu wa kitanzania ni bure kabisa. Kesi wanazojurge hasa za kisiasa tayari zinakuwa zinakuwa zimeamuliwa na wanasiasa. Mahakama zipo tu hazina meno?
 
Wewe ni master of upumbavu. Mkubwa mzima unakaa kuandika andika mambo ya kitoto ukidhani unachekesha. Watu washakuchoka.ukue sasa pumbavufull.

Utangaika sana kuja na ID's zako mbalimbali ukiachana na ile iliyoko ' Verified ' hapa Jamvini. Bado nasisitiza kuwa Mimi ni Mpumbavu ila waliopoteza muda wao Kuhangaika Kukuleta duniani ni ' Wapumbavu Waandamizi ' kabisa. Nilipoanzisha hii ID niliandika hapa kuwa GENTAMYCINE nimekuja Kuchekesha Watu? Hao unaowasemea kuwa Wamenichoka nilipojiunga hapa Jamvini niliwaomba wasinchoke muda wote?

Kilichomo ndani ya hii ' Signature ' yangu isemayo " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " ndicho Kinakutesa na Kitakutesa mno hapa. Na kwa jinsi ninavyojua ' Flow ' yako hapa Jamvini hata uje na ID gani nakujua mapema tu. Wenzako wenye Akili Kukuzidi hapa wakiona hawampendi Mtu au hawataki hata Kusoma Mabandiko yake huwa wanamu ' Ignore ' sasa kwa Kutudhihirishia ' Ujuha ' wako unajua kabisa kuwa unamchukia na humpendi GENTAMYCINE kwakuwa hapendezwi na tabia yako ya ' Ushoga / Utambaliziwaji ' lakini bado kila uingiapo ( Log In ) hapa ni lazima tu utaangalia ameanzisha Uzi gani au amechangia wapi na nini. Na hapo bado utateseka mno na Mimi na bado nipo nipo sana hapa Swine Wewe.

This is GENTAMYCINE.
 
Mbona genta anajulikana wazi tu?nenda kinondoni watakwambia.
Hili nililihisi siku za nyuma na hii ni sababu ya uandishi wake wa mipasho.

Sasa Kinachoshangaza kila nikikatongoza haka katoto kananitolea nje??

Mwambie aje PM nimpe maisha
 
Tumeaminishwa kuwa Mahakama ziko Huru kabisa. Hata wakimpigia huyo anayeitwa Baba magoti itasaidia nini?. Ana uwezo wa kupindua Hukumu?
Uwezo huo anao tena sana! Kama hujui hilo wewe siyo mtanzania. Niambie ni kitu gani katika nchi hii ambacho kinagusa mihimili ya dola ambacho mzee hakiwezi? Akiamuru wewe upotee usionekane kabisa itakuwa hivyo.
 
Nadhani huyo mzee alikuwa anabashiri tu! Kama ingekuwa kwamba wanaogopa kuozea jela,huenda wengi wao wangekuwa wameshajiunga na CCM kuunga juhudi kama akina Waitara! Maana ukishaunga juhudi hata kama ulikuwa na kesi ya mauaji inafutwa.
Hakuna fumbo hapo
 
Huyo mzee anamaanisha kwamba, hapa Tz ukisha kuwa rais basi unakuwa Mungu wawa Tanzania. Unaweza kuamuwa kuua au kuponya.
 
Back
Top Bottom