Mlioichagua CCM nimewasamehe lakini msirudie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlioichagua CCM nimewasamehe lakini msirudie

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Joblube, Aug 18, 2011.

 1. J

  Joblube JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pamoja na kuwa CCM haikushinda kihalali, lakini ndugu zetu mlioichagua CCM mmesaidia wao kupata njia ya kuchakachua na kuweza kurudi madarakani. Matokeo yake mateso tunayopata sasa na mbaya zaidi dereva wetu hana tena uwezo wa kutufikisha salama, naamini tutafika lakini kwa mateso na uchungu kama tunavyopata sasa. Cha ajabu mateso haya tunapata wote nyie mliochagua CCM na sisi ambao tuliikataa wote Mangana kama wazanaki wanavyosema.

  Mimi siwalaumu magamba nawalaumu nyie mlioichagua CCM angalia
  sasa tuapigika wote, kapelo na Tshirt mlizopewa zinamewasaidia nini. Lakini kwa ujumla wake kutenda kosa sio kosa bali kurudia kosa. Mimi binafsi nimewasamehe na nawapenda kwa dhati kabisa kwa kuwa na jua ni ujinga tuu ulisababisha mkachezewa cheupe chekundu mkaingia kichwa kichwa ikala kwenu mbaya zaidi na kwetu.

  Ndugu zangu 2015 tusikubali tena propaganda za magamba na tuonyeshea kuwa ule msemo wao wa kututusi kuwa Watanzania ni wepesi wa kusahau sio kweli, tuwachane kwa kishindo ili wakichakachua ishindikanea kabisa.

  Mungu ibariki Tanzania pamoja tutafika.
   
 2. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,633
  Likes Received: 905
  Trophy Points: 280
  Heee wewe ndugu, hatusubiri mpaka 2015. Nani kakuambia Vasco Da gama Tutamning'iniza kama Mubarak wa Misri, Egypti.

  Wanaharakati wa Tanzania wamelala sana, tumechelewa sana kumtimua ikulu na Watanzania tu waoga tena mazoba.

  Tukiandamana wanasema oo uchochezi oo amani. Kumbe wanataka amani ili waendelee kutafuna kwa ulaini.

  Mhh na hawa wabonge wa magamba!!! thinking by using masaburi

  Wabonge wa magamba ni kama wildebeest, yaani wanaburuzwa na wanaacha vigogo wanatafuna nchi kama akina Luhanjo, Msekwa na vasco da gama wao
   
 3. R

  Rangi 2 Senior Member

  #3
  Aug 18, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa kifupi sana, unataka kutuambia nini hasa??
   
 4. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  inabidi kina ritz, mwita25, GeniusBrain, Mlengo wa kati, Bollo yang, Bi zakia, Muhadhir,edina na suzana na wenzao waje hapa wakushukuru kwa msamaha uliowapa, na waseme asante kwa msamaha!
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,279
  Trophy Points: 280
  Labda ungeselect lugha unayoielewa vizuri, ningekuelewa lakini kwa lugha hii ya kiswahili huwezi ukaelewa kitu.......... wewe ndio wale wale.
   
 6. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,633
  Likes Received: 905
  Trophy Points: 280
  Kwa kila anaefikiri kwa ubongo wake, then ataelewa tu
   
Loading...