Mlioforwardiwa meseji za Happy Valentines day, hii inawahusu

Lihove2

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
3,156
5,653
Kama umekuwa wa kwanza kufowardiwa ,narudia tena, kufowadiwa meseji ya Happy valentine na mtu mwingine kabla ya wewe kumtumia huyo mtu, jua tu aliyekuforwardia anathaminiwa na kukumbukwa na wengine zaidi ya wewe unavyomkumbuka yeye. Na usikute unapewa meseji iliyotoka kwa mchepuko.

Kama hujanielewa nalo ni tatizo lingine

Otherwise epuka KUFOWADI meseji za Valentine wishes, Ila Fanya kutuma hizo meseji.

Happy valentine's day kwenu wote. Mungu awabariki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom