Mliofanya interview UDART, kuna aliyeitwa oral interview?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,099
8,727
Kwa walio fanya written jana vipi kuna aliyetumiwa ujumbe wa kuitwa oro interview? naomba mrejesho kwa walio fanya tu kama haujafanya pita haikuusu,naofia majungu ya kikwere yanaweza jitokeza hapa.
 
Bwana mdogo jiheshimu la sivyo nitadili na wewe
izo biti pereka ukweleni hapa magu, hizo biti hazina tena tija, umeambiwa upite km hapakuusu umeenda kukosoa iliuonekane wajua sana
 
Perry asante bwana,ila kumbuka kipindi kile jamaa wanakuponda hapa jukwaan me nilikua mtetezi wako.
 
Kwani Udart nao walikuwa na written interview pale DUCE? Mbona kama naona mauza uza!! Mwenzenu? Najua interview iliyo fanyika ni ya DART alaf hao hao Dart kuna post nyingine hawakutoa majina ya interview mfano walioomba post ya station assistants cjui ndio kusema hyo post imefutwa?!!! Au ulikuwa mpango wa kulichangia shirika la posta?!!! Leo tena naona Udart eeh sielewi which is which kweli aya ni mauza uza. Only god knows
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom