Mliofanikiwa kwenye Network Marketing tunawaomba mtoe Ushuhuda hapa

Louis II

JF-Expert Member
Mar 9, 2018
3,030
4,645
Wakuu,

Mwishoni mwa mwaka jana Mdogo wangu (Mwanafunzi wa chuo Kikuu Ardhi) alinitumia ujumbe Uliosomeka " Bruv! Nimepata platform ya kupiga pesa, Sure am telling you bruv am gonna be a great millionaire in just few coming days". Nikamuuliza, "Vipi umepata dili la kuwa Contena?(kwa maana ya Msafirishaji wa madawa ya kulevya)".

Akanijibu "Bruv i just need you to lend me 560k Tshs nimepata nafasi ya kuwa milionea kwa kutengeneza pesa na Kampuni moja ya Kifilipino inaitwa Alliance In Motion Global after one year hata wewe nitakuwa nakupumulia kisogoni". I was shocked kivipi laki tano na sitini izae mamiloni ndani ya mwaka mmoja!! Nilimuuliza dogo iwapo amefanya utafiti wa kutosha juu ya hiyo anayooita "platform" na kunijibu kuwa ameshafanya na anawajua watu wengi waliotusua kupitia hiyo Alliance.

Binafsi nampenda sana mdogo wangu, Sikutaka afikirie kuwa namnyima nafasi ya kutekeleza,adhma yake (Japo nilikuwa na wasiwasi) niliamua Kumtumia Sh. Laki 7 ili akifanya hayo mambo yake abaki na balance ya kutumia kwa muda (ili tusisumbuane tena). Now ni mwezi wa 6 huu unaelekea wa 7 tangu ajiunge sioni mabadiliko yoyote, mara ananiambia "Bruv, Haya mambo hayataki haraka pesa ipo inakuja".

Mara, "oh! natengeneza Pair ya watu wangu ili nianze kulipwa". Kuanzia hapo nikajua tu kuwa mdogo wangu alipotea njia kwa kufuata mkumbo na kukubali kuingizwa mkenge coz mpaka sasa hazipiti wiki mbili bila kuniomba pesa za,matumizi.

Siku moja tena ya Mwezi February kuna dada alinifuata ofisini akataka tuongee ili anishirikishe busness yao alijitambulisha kwa A.k.A ya Cherry. nilimpomkubalia akaniambia kuwa anafanya kazi na kampuni ya QNET na kuna mtu alim'direct kwangu (alisita kumtaja) ndipo akaanza kutoa "Likitabu" lake lina picha za simu, saa, mikufu nk.

Kwa ufupi tu ni kwamba alinieleza kuwa kwa kiasi cha kuanzia dola 2000 kwa maana ya Shilingi milioni tano pekee naweza kununua bidhaa moja kama vile saa au mkufu na nikishirikisha wenzangu wengine nitaanza kulipwa pesa...Niliposikia hivyo nilimwangalia yule dada nikamwambia kwa ufupi ".Sista nipo busy sana kwa sasa na pia siwezi kufanya hiyo biashara yako am so sorry".aliondoka akiwa na mfadhaiko usoni mimi sikujali coz Niligundua kuwa hawana tofauti na wale Alliance waliomtapeli mdogo wangu miezi kadhaa iliyopita.

Nyie watu Wa Hayo makampuni tajwa hapo Juu na ninyi mliofanikiwa kupitia haya makampuni (kama mpo humu) hebu jitokezeni mtujuze mlitumia njia gani..otherwise i declare you kama Matapeli mliofumbiwa macho na Serikali.
 
Wakuu,
Mwishoni mwa mwaka jana Mdogo wangu (Mwanafunzi wa chuo Kikuu Ardhi) alinitumia ujumbe Uliosomeka " Bruv! Nimepata platform ya kupiga pesa, Sure am telling you bruv am gonna be a great millionaire in just few coming days". Nikamuuliza, "Vipi umepata dili la kuwa Contena?(kwa maana ya Msafirishaji wa madawa ya kulevya)" .......Akanijibu "Bruv i just need you to lend me 560k Tshs nimepata nafasi ya kuwa milionea kwa kutengeneza pesa na Kampuni moja ya Kifilipino inaitwa Alliance In Motion Global after one year hata wewe nitakuwa nakupumulia kisogoni". I was shocked kivipi laki tano na sitini izae mamiloni ndani ya mwaka mmoja!! Nilimuuliza dogo iwapo amefanya utafiti wa kutosha juu ya hiyo anayooita "platform" na kunijibu kuwa ameshafanya na anawajua watu wengi waliotusua kupitia hiyo Alliance.
Mkuu, pole.

Jisomee kiundani:

A pyramid scheme is a business model that recruits members via a promise of payments or services for enrolling others into the scheme, rather than supplying investments or sale of products. As recruiting multiplies, recruiting becomes quickly impossible, and most members are unable to profit; as such, pyramid schemes are unsustainable and often illegal

Source: https://en.wikipedia.org/wiki/Pyramid_scheme
 
Kuna nyingine imeanzisha pyramid scheme kupitia kitu wanaita ".....Plant Stem Cells Therapy...". Utasikia wanatibu kuanzia cancer, kisukari etc. Utashangaa kwa nini MSD wasinunue hizo dawa zao na kuzigawa mahospitalini.

Mbinu hizi often wanatafuta watu wenye majina mashuhuri na kujitangaza kuwa wamewasaidia hao watu kutokana na athari za stroke kisukari na kama hayo. Bewarned. Ni pyramid scheme. Upigaji upo palepale.
 
Hamna kitu huko utapoteza hela pamoja na muda wako huku ukiwa haufaidiki na chochote zaidi ya kuitwa sijui champion mara manager na kupiga picha ukiwa umevaa suti kwenye magari na nyumba za watu ili kuwadanganya wengine wajiunge
As You've said Uvaaji wa Suti for nothing umeniharibia my own young brother.
 
Mkuu, pole.

Jisomee kiundani:

A pyramid scheme is a business model that recruits members via a promise of payments or services for enrolling others into the scheme, rather than supplying investments or sale of products. As recruiting multiplies, recruiting becomes quickly impossible, and most members are unable to profit; as such, pyramid schemes are unsustainable and often illegal

Source: https://en.wikipedia.org/wiki/Pyramid_scheme
Hivi serikali haioni huu utapeli?
 
Kuna nyingine imeanzisha pyramid scheme kupitia kitu wanaita ".....Plant Stem Cells Therapy...". Utasikia wanatibu kuanzia cancer, kisukari etc. Utashangaa kwa nini MSD wasinunue hizo dawa zao na kuzigawa mahospitalini. Mbinu hizi often wanatafuta watu wenye majina mashuhuri na kujitangaza kuwa wamewasaidia hao watu kutokana na athari za stroke kisukari na kama hayo. Bewarned. Ni pyramid scheme. Upigaji upo palepale.
Tamaa ya pesa za haraka inaangamiza kizazi cha vijana.
 
Back
Top Bottom