Mliofanikiwa au kuanza kupata faida kwenye biashara, ujasiriamali n.k mlianza kupata hasara kama Mimi?

sizonjemadawa

JF-Expert Member
Feb 11, 2017
1,053
1,303
Wakuu
Maisha ni mapambano ila kwangu mbona kila nachofanya kinaenda kombo yaani miloss tu, mpaka sasa nakata tamaa ya kufanya haya mabiashara,

Hivi na nyinyi mliotoboa kwenye biashara mliwezaje, mbinu gani mlizitumia, au mlianza kupata hassara kama Mimi,

Ni changamoto zipi mlizipitia kabla ya kusimama ki biashara
 
Kuwa mbunifu mkuu soma watu wanahitaji nini then lisha soko sawasawa na uhutaj pia vhunguza bei ya bidhaa zako ujue faida na hasara so usilalamike tu jichunguze pia unakwama wapi.
 
Ilitakiwa utupe highlight kwanza unafanya biashara gani, wapi na unakula vipi loss
 
Mimi nimeshapata hasara ya tsh milioni mbili lakini bado napambana! Kitu muhimu ni kutambua pale ulipokosea na kurekebisha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom