mliodisco km unaomba mkopo lipa 25% kwanza

123cholo

Member
May 20, 2014
14
1
Nawakumbusha wale wanafunzi walio disco na mwaka huu wanataka kuomba mkopo wakumbuke kurudisha 25% ya ulichotumia ndo bodi ya mkopo kitakufikilia
Na ruhusu kufahamishwa zaidi au kukosolewae
 
Nawakumbusha wale wanafunzi walio disco na mwaka huu wanataka kuomba mkopo wakumbuke kurudisha 25% ya ulichotumia ndo bodi ya mkopo kitakufikilia
Na ruhusu kufahamishwa zaidi au kukosolewae

Ina maana na wewe uli-disco?
 
mmmmh hii habari vipi tunahitaji source ya habari yako ili tufanye evaluation!!! hatuwezi kuwa competent kama hatujui verified. source!!!!!
 
Back
Top Bottom