Baada ya Rais kutangaza rasmi kwamba, Ilipothibitika kuwa zile sauti zilizovuja zikimkashifu zilikuwa halisi,
Miongoni mwa hao walioshiliki kumtukana wakaamua kumfuata rais kuomba msamaha, aliwasamehe watu hao ambao ni January makamba na ngereja:
Kuna watu hawajajua mpaka sasa umhimu Wa rais kuwataja watu hao hadharani kuwa kawasamehe!
Utaratibu Wa kusamehe makosa kama hayo waliyotenda kina ngereja na wenzake wote, yanajumuisha mhimili mzima Wa rais pamoja na walinzi wake,
Utaratibu Wa kusamehe makosa personal ni tofauti sana na hili la rais;
Yamkini rais angewasamehe kimya kimya kama watu wanavyosema, Lakini hawajui kwamba system ya ulinzi iko kazini, kwahiyo isingekuwa rahisi walinzi wote Wa rais kujua kuwa flani na flan wameondolewa kwenye target!
Hakukuwa na njia nyingine tofauti ya kuwaondoa kwenye target kama rais asingewataja,
Vinginevyo wao wangetakiwa kujirekodi sauti zao kukiri kosa na kutaja wazi wamemuona rais na kumuuomba msamaha na sauti zile wazisambaze hadi zifikekitengo cha usalama Wa rais.
Kuepuka hayo yote, rais kawaondolea mzigo huo na kuwasamehe kwelikweli ili hata waliochini yake wawaondoe kwenye target!
Yamkini system ingeamua hata kuwaminya katika chaguzi zijazo, lakini kwa msamaha Wa rais watendaji wamesikia!
Mwambieni askofu Wenu wa kaskazini majibu hayo;
Kwamba kuna mambo binafsi tunayopaswa kusamehe kimya kimya kama wanadam, lakini yapo mambo yanayoendeshwa kisystem!
Ukimtukana Mchungaji hadharani, hata ukamuomba msamaha kimya kimya, Waumini wake wataendelea kukuandama hadi hapo mchungaji huyo atakapokutaja hadharani kuwa kakusamehe.
ALICHOKIFANYA RAIS NI ZAIDI YA KUSAMEHE;
wamesamehewa lakini hawataaminika
Updates
Nape Nauye nae leo kajisalimisha! Mapambano yansendelea; Waliobaki watumie mwezi huu kutafakali (grace period)