Mliobobea na Kutukuka katika ‘Critical Thinking ‘ kwa Kauli hii ya Spika Job Ndugai mmegundua nini Kinachokuja?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,542
108,858
Hakuna Kauli ya Mheshimiwa Spika Job Ndugai ‘ iliyonitisha ‘ kama hii aliyoitoa ambayo nainukuu hapa isemayo…” CAG Assad anampa wakati mgumu sana Mheshimiwa Rais ajiuzuru tu mwenyewe “.

Baada ya kujua kuwa Rais siyo tu Ndugu John Pombe Joseph Magufuli bali ni Taasisi ambayo ina Watu wengi au Vyombo husika hapo ndani yake nilipoirudia hii Kauli ya…” CAG Assad anampa wakati mgumu sana Mheshimiwa Rais ajiuzuru tu mwenyewe “ Mimi kama GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nimeanza ‘ Kuogopa ‘ na sasa nina mambo ya ‘ Kutisha ‘ ambayo yamejaa Ubongoni mwangu.

Naomba wale ‘ Wabobezi ‘ wa Tafakuri Tunduizi ( Critical Thinking ) au wenye uwezo wa Kuwaza ( Kufikiri ) mbali zaidi na kwa Uchambuzi wake wote waje wanisaidie kuwa kwa Kauli hii ya Spika Ndugai kuna nini kinachoenda Kujiri au mpango gani unaandaliwa kwa CAG Assad na mengineyo?

Nawasilisha.
 
Wacha akili potofu kumuingiza Mungu kwenye ujinga wenu ya ujingaujinga
Hofu hizo ni sawa lakini pia tujue kama Mungu kapanga jambo lake hata dunia nzima izuie halitowezekana na kama Mungu hataki Assad atoke basi bado hata wafanyaje haitowezekana so kwangu mm ni dua kwa mja wake huyu ambaye hakika hana kosa lolote

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona manyunyu lazima Kuna wingu la mvua lililojitengeneza kabla ya wewe kuona mvua/manyunyu.

Mtu mwerevu atachukua mwamvuki kujikinga mvua ama atakaa sehemu salama mpaka mvua iishe Kisha Mambo yataendelea. Ukikosa busara utakimbia kwenye mvua na kuanza kupiga kelele ooh mvua inaonyesha na kulaumu kwa Nini mvua inanyesha.

Hiyo ndio nimeoana kwenye kelele za Spika vs CAG
 
Hakuna Kauli ya Mheshimiwa Spika Job Ndugai ‘ iliyonitisha ‘ kama hii aliyoitoa ambayo nainukuu hapa isemayo…” CAG Assad anampa wakati mgumu sana Mheshimiwa Rais ajiuzuru tu mwenyewe “.

Baada ya kujua kuwa Rais siyo tu Ndugu John Pombe Joseph Magufuli bali ni Taasisi ambayo ina Watu wengi au Vyombo husika hapo ndani yake nilipoirudia hii Kauli ya…” CAG Assad anampa wakati mgumu sana Mheshimiwa Rais ajiuzuru tu mwenyewe “ Mimi kama GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nimeanza ‘ Kuogopa ‘ na sasa nina mambo ya ‘ Kutisha ‘ ambayo yamejaa Ubongoni mwangu.

Naomba wale ‘ Wabobezi ‘ wa Tafakuri Tunduizi ( Critical Thinking ) au wenye uwezo wa Kuwaza ( Kufikiri ) mbali zaidi na kwa Uchambuzi wake wote waje wanisaidie kuwa kwa Kauli hii ya Spika Ndugai kuna nini kinachoenda Kujiri au mpango gani unaandaliwa kwa CAG Assad na mengineyo?

Nawasilisha.
Ni kwamba uwepo wake unawakwamisha kupiga mabao, hawataki auditing zitazifichua ubadhilifu wa kiranja mkuu. Vile vile inamaana bunge limetumika tu kama chambo lakini asiyemtaka CAG ni mkulu mwenyewe ndiyo maana spika amechoka kuzungusha maneno sasa kaamua kunyoosha maelezo ili ujumbe ufike bila chenga.
 
Hakuna Kauli ya Mheshimiwa Spika Job Ndugai ‘ iliyonitisha ‘ kama hii aliyoitoa ambayo nainukuu hapa isemayo…” CAG Assad anampa wakati mgumu sana Mheshimiwa Rais ajiuzuru tu mwenyewe “.

Baada ya kujua kuwa Rais siyo tu Ndugu John Pombe Joseph Magufuli bali ni Taasisi ambayo ina Watu wengi au Vyombo husika hapo ndani yake nilipoirudia hii Kauli ya…” CAG Assad anampa wakati mgumu sana Mheshimiwa Rais ajiuzuru tu mwenyewe “ Mimi kama GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nimeanza ‘ Kuogopa ‘ na sasa nina mambo ya ‘ Kutisha ‘ ambayo yamejaa Ubongoni mwangu.

Naomba wale ‘ Wabobezi ‘ wa Tafakuri Tunduizi ( Critical Thinking ) au wenye uwezo wa Kuwaza ( Kufikiri ) mbali zaidi na kwa Uchambuzi wake wote waje wanisaidie kuwa kwa Kauli hii ya Spika Ndugai kuna nini kinachoenda Kujiri au mpango gani unaandaliwa kwa CAG Assad na mengineyo?

Nawasilisha.
Ni bora tumpoteze yeye lakini sio Prof Assad...anatakiwa alijue hilo..period

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama wameweza kuona anampa wakati mgumu "RAISI" basi kuna mengi ya "hovyo" wanategemea kufanya au wameisha yafanya wanahofu kuendelea kuwepo kwa Prof. katika hiyo nafasi.
wasipigane na "MUDA" haujawahi kushindwa wala kudanganya. (nuktA)
 
Spika anatumwa tu baada ya CAG kugoma kuandika ripoti ya kupika. Jiwe hasa ndio mwenye tatizo na huyo CAG toka muda mrefu hasa sakata la 1.5t. Hiyo kauli ya dhaifu imetumika tu kama kisingizio lakini ukweli ni kuwa jiwe hawezi kufanya kazi na mtu anayesimamia weledi na sio kufuata atakacho. Uzuri ni kuwa CAG anajua huyo spika ni kifaranga, anasubiri mama wa kifaranga ajitokeze ili rangi yake halisi ifahamike.
 
Back
Top Bottom