Mliobadili dini kwa sababu ya mapenzi na baadaye mkatoswa mpo?

GRAMAA

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
1,155
3,399
Poleni wote mliojitia kiherehere cha kubadili dini zenu ili mfuate dini za wapenzi wenu na mwisho wa siku wapenzi hao wakawatosa baharini na mmebaki njiapanda.

Ni ujinga wa level ya SGR kubadili dini kwa sababu ya papuchi tena papuchi yenyewe used. Yaani papuchi inakushinda akili mpaka unaamua kukimbia imani yako.

Ni heri mwanamke abadili dini kwa sababu yako kuliko wewe dume zima unabadilishwa dini na kabinti baadaye kanakutosa unabaki hujui uendelee na dini yako ya zamani au na hii mpya.

Kama unajijua mapenzi yalikufanya ubadili dini na baadaye aliyekufanya ubadili hiyo dini amekutosa basi huna tofauti na taifa lolote lile duniani ambalo Rais wake anapanga foleni kupokea ndege huku anaumwa.

Wakuu mnakwama wapi?
Lini mtajifunza kuwa mwanamke hayupo kwenye kundi la binadamu?

Hivi ni kweli papuchi inawatoa ufahamu kiasi hicho! Pumbavu sana.
 
mimi kama kiongozi wa dini za kiislamu na kikristo, nakemea vikali mada hii.
 
uwe na adabu kama wanawake hawako kwenye kundi la binadamu umeshawahi kujiuliza wewe uko kwenye kundi gani maana na wewe ni uzao wa huyo mwanamke watu wengine sijui mnavutaga bangi za wapi alafu na umekaa kabisa unajiita mwanaume jitafakairi kwanza kabla ya kuonyesha ujinga wako mbele ya jamii ya watu waliostarabika mtu kubadili dini ni mapenzi yake sijui kama kwa kufanya hivyo kavunja mahali sheria ya nchi
 
We jamaa nimekua nikisoma nyuzi zako!

Nilichogundua kutoka kwako ni kua unajua kuchamba sana na inatakiwa upewe kipindi cha redio au cha tv uchambe watu.
 
Nilikuwa nampenda sana Joyce, na nilikuwa na malengo naye makubwa ya baadaye kutengeneza family,
Sote ni Christian ila yeye alikuwa RC mimi Pentecostal,
Siku moja nikamsikia anaongea kwenye simu"siwezi kuhama dhehebu langu sijui tutafanyaje tu"

Alikuja kusikia habari tu kwamba nilishaoa.
 
Hayo ni matusi, nani kakwambia kuwa mwanamke siyo binadamu?, kubadili dini ni kweli sio vzr...dini zinasema kuwa badili dini kwasbb unapenda kwenda kwenye ile dini, unapenda mawaidha yake yanayohubiriwa lkn sio kwsbb ya mapenzi...hata mimi mwnyw siwez kubadli dini sbb ya mapenz kamwe.. Lkn ilo neno eti mwanamke sio binadamu aisee kama sio binadamu ungezaliwa wewe?, leo ungeitwa ilo jina la kidume unaloitwa?, ebu tuheshimu wanawake basi... Toa elimu kuwa wasibadili dini lkn sio kuwadharau wanawke... Badili kauli zako
Poleni wote mliojitia kiherehere cha kubadili dini zenu ili mfuate dini za wapenzi wenu na mwisho wa siku wapenzi hao wakawatosa baharini na mmebaki njiapanda.

Ni ujinga wa level ya SGR kubadili dini kwa sababu ya papuchi tena papuchi yenyewe used. Yaani papuchi inakushinda akili mpaka unaamua kukimbia imani yako.

Ni heri mwanamke abadili dini kwa sababu yako kuliko wewe dume zima unabadilishwa dini na kabinti baadaye kanakutosa unabaki hujui uendelee na dini yako ya zamani au na hii mpya.

Kama unajijua mapenzi yalikufanya ubadili dini na baadaye aliyekufanya ubadili hiyo dini amekutosa basi huna tofauti na taifa lolote lile duniani ambalo Rais wake anapanga foleni kupokea ndege huku anaumwa.

Wakuu mnakwama wapi?
Lini mtajifunza kuwa mwanamke hayupo kwenye kundi la binadamu?

Hivi ni kweli papuchi inawatoa ufahamu kiasi hicho! Pumbavu sana.
 
Serikali ijitahidi kufuta "bangi" Katina uso wa dunia. Eti kupanga follen kupokea ndege, ni bangi ya asubuhi.
 
Back
Top Bottom