ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,020
- 1,968
Deleted
Hilo koti bei gan?salaam kwenu all medical personnel!!
karibuni sana ndugu zangu ktk kada hii ya afya. panapo majaliwa October pindi lenu linaanza taarifa hizi nimezipata kutoka kwa Mkuu wangu wa chuo!!
vifaa kwa ajili ya matibabu tunauza kwa bei ya offer yaani set nzima kuanzia stethoscopes, blood pressure machine, thermometer, tape measure na vinginevyo tunauza kwa laki 1 tu pia tunauza clinical coats (koti la daktari) kwa 30000 tu!!
karibuni sana ktk kada ya afya
hamna mikopo mkuuHv wakuu hku kna mikopo?
30000Hilo koti bei gan?
Hilo koti bei gan?
salaam kwenu all medical personnel!!
karibuni sana ndugu zangu ktk kada hii ya afya. panapo majaliwa October pindi lenu linaanza taarifa hizi nimezipata kutoka kwa Mkuu wangu wa chuo!!
vifaa kwa ajili ya matibabu tunauza kwa bei ya offer yaani set nzima kuanzia stethoscopes, blood pressure machine, thermometer, tape measure na vinginevyo tunauza kwa laki 1 tu pia tunauza clinical coats (koti la daktari) kwa 30000 tu!!
karibuni sana ktk kada ya afya
tunapatikana Tandika, dar es salaam jirani na chuo cha afya cha cityNahitaji clinical coat mpo wapi nije kuchukua
mama chupaki punguza muzuka!! kama una vigezo chuo utapata tu hilo ondoa shaka!! umechagua govement selection zote 3?Selection kwanza clinical coat baadae.
mm binafsi nafatilia ktk kada ya afya coz niliwahelp vijana kama 17 hivii Ku apply kozi za afyaKwan ni only afya tuu ndo tayar vp other selection??
Ndio mkuumama chupaki punguza muzuka!! kama una vigezo chuo utapata tu hilo ondoa shaka!! umechagua govement selection zote 3?
OK sasa hipo hivii kama utapangiwa chuo sawa ila kama hutapangiwa chuo nacte watakupa opportunity ya kuapply tena (second round) hapo anza kuchagua vyuo vya private ili usije ukaachwa kwa mwaka huu!!Ndio mkuu
Sina mzuku nipo cool kabisa.