Mlioaminishwa kuwa CHADEMA imekufa poleni sana maana CHADEMA ni sawa na nyegere

Na Cha kushangaza pamoja na Samia kusifiwa Sana kuwa kurekebishwa ujinga mwingi wa Mwendakuzimu Lakini Mama na CCM yake wameshindwa kuruhusu Shughuli za kisiasa kama mikutano ya hadhara ifanyike kama zamani.
Hii ni kwa Sababu ya kuihofia CDM.
Walizuia mikutano ya Siasa wakatangaziana kuwa wamekua CDM.
Waliweza kuua Viongozi wa CDM Lakini wameshindwa kuua his za wapenzi wa CDM.
Ni wakati sasa wa wana cdm wenye mapenzi ya kweli tumpongeze kiongozi wetu na sisi wana chadema wenyewe tujipige kifua na kusema .....CHADEMA NI KIMBILIO LA WAPENDA HAKI NA AMANI.
 
Wafuasi wakubwa wa mwendazake waliambiwa na wakaaminishwa kuwa CHADEMA imekufa kisa wabunge wake wamehamia CCM.

Baada ya uchagzi tukaaminishwa na Polepole kuwa CHADEMA sasa imebakia jina MATAGA wakakenua meno.

Sasa nawaambia kuwa CHADEMA ni sawa na mnyama katili na mvumilivu wa maumivu na sumu kali hata ya nyoka aitwaye ...NYEGERE.

CHADEMA ilionewa sana na kama isingekuwa uongozi thabiti wa mh Mbowe leo hii cdm ingekuwa sawa na CUF,TLP na wenzake kina TADEA na NCCR.

Sasa CHADEMA tumeanza kujiimarisha na kuthibitisha kuwa sisi ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
Nakuongezea hapo kavesi kengine chadema ni kama maji ukishindwa kuyanywa utayaoga ukishindwa kuyaoga utayapikia ukishindwa kuyapikia utayafulia chadema ni limto au limongo limanonga
 
Cdm kwa sasa inawapa wasiyo ipenda ugonjwa wa moyo
Wanapoona na walipoona tunamshabikia Mama Samia wakadhani na wanadhani tulikua tumeachana na CDM yetu,la hasha.

Mimi na nadhani ni wengi tulifurahia Mama kuanza kufuta ujinga wote uliofanywa na mwendazake.

Pia Mimi na Naamini Wengi "hatukufurahia kifo"Cha Mwendazake kama binadamu mwenzetu ingawa yeye alifurahia Vifo vya waliomkera,Mimi na wengi tulifurahia kuondoka kwa Mtu muovu kabisa kwenye Historia ya nchi yetu kwenye "ofisi" ya Taifa,"kiti" Cha taifa.

Watu wengi tungefurahi kama angeondoka kwenye kiti kile na ofisi ile Takatifu kwa njia zifuatazo:-

Kukubali kushindwa Uchaguzi,

Kujiuzuru,

Kuugua Sana na kutokuweza kuendelea na majukumu yake ya urais,

Kuondolewa kwa nguvu yoyote ile,

Kukimbia nchi,

Au kuondoka kwa namna yoyote ile.

Mimi na wengine tungefurahi tu,Maanza mtu yule hakuongoza kwa haki,kwa kufuata katiba,Sheria,kanuni,taratibu,Mila,desturi Wala Tabia za Kitanzania.

Hivyo njia ya kifo ndio imemuondoa madarakani mtu asie na utu.

Mwisho ni kwamba,watu walifurahi kuondoka kwake katika kiti kitakatifu na ofisi takatifu,sio kufa kwake.
 
Ni wakati sasa wa wana cdm wenye mapenzi ya kweli tumpongeze kiongozi wetu na sisi wana chadema wenyewe tujipige kifua na kusema .....CHADEMA NI KIMBILIO LA WAPENDA HAKI NA AMANI.
💪💪💪💪💪💪✌️✌️✌️✌️👌👌👌👌🤝🤝
 
wewe ndondocha sisi hatuna ushabiki bali Chama Cha Mapinduzi kinaishi ndani ya mioyo yetu kwa uzalendo uliotukuka. Usirudie kutuita mashabiki
Huyo ndiyo cdm
Screenshot_20210529-072705.jpg
 
Bogus na pumba toka kwa mburula wa Cdm
Chadema ipo kwenye makaratasi ya msajiri

Hapo ulipo unatamani iwe hivyo lakini haiwezekani. Ccm ilikosea kuiacha cdm kutoka kuwa chama cha siasa hadi kuwa imani.
 
Watu washafukia kichwa wewe unajidai bado hakijafa.
Tuanze na hili hiko cdm kilichopo kiko wapi? Kama cdm ni Mbowe sawa kipo ila kama kuna Jibu tofauti na hilo basi kishakufa long time.

Hilo utaomba litokee hadi uchoke lakini hutakaa ulione.
 
Hapo ulipo unatamani iwe hivyo lakini haiwezekani. Ccm ilikosea kuiacha cdm kutoka kuwa chama cha siasa hadi kuwa imani.
Huna uwezo wa kutambua uhai wa chama ndio maana unaropoka kama unahara. Chama kilicho hai kinajulikana hasa kiongozi wake akitoa matamko.
 
Back
Top Bottom