Mlioachwa juzi na leo tengenezeni chama chenu!!Someni alama zanyakati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlioachwa juzi na leo tengenezeni chama chenu!!Someni alama zanyakati

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Apr 12, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Miminawashahuri wale vingunge na nguli wanasiasa wazoefu walioachwa kwenye kura za maoni kwa fitna au hila zozote kupitia CCM mpaka mkashindwa kupata nafasi zakugombea uongozi mbalimbali mwaka jana kwenye uchaguzi mkuu, na wale mlioachwa kwenye Huu mchakato wa Nyoka kujivua magamba!! Unganeni Manzishe CCM-Academia, kwani hamtakiwi CCM original msome alama za nyakati!!
   
Loading...