Mlio wahi kudate na wasichana wa facebook,naomben ushaur kwa hili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlio wahi kudate na wasichana wa facebook,naomben ushaur kwa hili.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Perry, Feb 11, 2012.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,935
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  Wakuu,kuna shori flani nlimit nae pande za feisibuku,sa katka zle chattngs za mara kwa mara,nkajikuta nimemlamba sound nae bila kuzuga nin akawa dezain flan ka kaingia line,wel kaniambia jana kaenda moshi na me ka zali flan kesho natimba pande za skan kwetu huko huko moshi,sa naomben maushauri yenu,nikampge mikasi au nitemane nae?
   
 2. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,564
  Likes Received: 1,315
  Trophy Points: 280
  Gonga mwana.. Mimi nimeshawalamba wawili wanamna hyo.. Bt note that, ninapokupa ushauri huu nina castle lager 7 kichwani
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Mpige chanuo.
   
 4. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  Mmh umentisha mamaa Lizzy
   
 5. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 5,786
  Likes Received: 2,176
  Trophy Points: 280
  Ucpige mikasi tunga uzi kwenye sindano tu hlf sepa.
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 280
  Achana nae, kwani si una wako au umeachwa?
   
 7. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,053
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  so kuchat naye kwenye facebook tu unataka kwenda kupiga mikasi? tayari mnafahamiana on a real life, personal level au kila kitu kimeishia mtandaoni tu? kama ni hivyo, kuna tofauti gani na kwenda kuopoa ngoma uwanja wa fisi sasa?
   
 8. charger

  charger JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,318
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Angalia tu usije ukaibiwa
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  hakuna mtaalam wa kujilipua.
  We lipuka kivyako tu
   
 10. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,316
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Una uhakika kuwa kweli una hisia za kweli kwake na kweli unahitaji kushare nae bed?
  As for me, sikushauri kufanya hivyo, na swali langu utalala na wangapi huko facebook?
   
 11. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,511
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  watch out na mapenzi ya mtandaon:yawn:
   
 12. Freeland

  Freeland JF-Expert Member

  #12
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 14,282
  Likes Received: 6,472
  Trophy Points: 280
  Kuwa makini kaka.Life is short but it needs umakini zaidi.Jaribu kujijali. Mwili wako ni zawadi ya pekee aliyokupa Mungu,na unahitaji kuuheshimu.Ngono sio fasheni.Nakushauri achana na mambo hayo ya Ngono.Fanya mambo yako ya msingi.
   
 13. RaiaMbishi

  RaiaMbishi JF-Expert Member

  #13
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 252
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hapo muhimu ni kinga, vinginevyo suala la kumtom tom halina mjadala.
   
 14. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #14
  Feb 12, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,795
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Take care!look before you leap
   
 15. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #15
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,952
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  makubwa haya!
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Feb 12, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,536
  Likes Received: 14,926
  Trophy Points: 280
  Lizzy najua umeandika ulimaanisha chanuo la nywele ila kupiga chanuo ni maana nyingine kabisa na mtu akipigwa chanuo lazima akimbie nayo mkononi
   
 17. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #17
  Feb 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,935
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  sijaachwa mkuu,ila nataka kujaribu kwingne nako nione kuna ladha gan.
   
 18. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #18
  Feb 12, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,168
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nenda kampige hyo mikasi, ukikuta ananyembe uje utujuze mkuu..(sio kila king'aacho kimepigwa na jua)
   
 19. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #19
  Feb 12, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,150
  Likes Received: 1,590
  Trophy Points: 280
  vaa mpira.

  uwii akiwa jike dume usitufiche ehhh
   
 20. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #20
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ningekuwa mimi ningepiga kwanza af ndo ningekuja kuomba ushauri..Kwani mapenzi ya mtandaoni kitu gani au tuna uhakika gani nao hawa ambao tuna wapata kihome home ka hawajatulia??!
   
Loading...