Mapya Yaja
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 560
- 403
Ni kawaida kutoa sauti wakati wa kwenda haja kubwa, Ila naona kwangu nimekuwa too much maana nikienda haja kubwa natoa mlio kama wa pikipiki iliyochomolewa exhaust. Najisikia embarrassed hasa napohisi kuna mtu ananisikia ndo haja hupoteza kabisa.
Naomba ushauri wa kitabibu wa kuepuka tatizo hili.
Naomba ushauri wa kitabibu wa kuepuka tatizo hili.