Mlio na mwanga huu mkubwa maeneo ya Ilala ni nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlio na mwanga huu mkubwa maeneo ya Ilala ni nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Feb 21, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kutokana na hali ya wasiwasi iliyotokana na milipuko ya Gongo la Mboto, nimeona ni bora niiweke hii. Mnamo kama saa 2.20 usiku huu kulikuwapo kitu kama mlipuko, au mlio usi wa kawaida katika maeneo ya Ilala -- ama katika kiwanda cha bia (TBL) au kule Mchikichini Tanesco.

  Kufuatana na jamaa yangu anayekaa maeneo ya Ilala sokoni aliyenipigia simu hivi punde anasema mwanga mkali sana uliambatana na mlio huo ambao anasema haukuwa wa radi.

  Kwa walio maeneo hayo watujuze ni kitu gani hicho.
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Naishi Bungoni nami niliuona huo mwanga mkali kutoka maeneo ya TBL. Inawezekana ni transfoma tu ime-blow.
   
 3. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Umeme umezidi au?
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  jamani msifanye mambo ya kuguess guess tukaja kuwakosa.....hima pigeni simu polisi kuhakikisha ni nini.....
   
Loading...