Mlio na mitaji midogo kwa minajiri ya kilimo

Lipijema

JF-Expert Member
Mar 8, 2015
809
1,193
As'laam alyekum, Nakushauli endapo mtaji wako ni mdogo hata kama wa kuanzia laki tano na kuendelea tuwasiliane ili nikupe ishu ya kilimo ambacho waweza endeleza maisha yako vizuri tu. Unapata shamba la kukodi kwa msimu wa mwaka mzima, mazao yanayokubali eneo nilipo ni pamoja na mahindi, mpunga, mihogo na mananasi. Ardhi bado ni yenye rutuba aitaji mbolea, msimu umeanza.
 
Ndo ile kuambiwa ukiambiwa njoo kuna fursa ujue wewe ndo fursa yenyewe
 
Back
Top Bottom