Lipijema
JF-Expert Member
- Mar 8, 2015
- 809
- 1,193
As'laam alyekum, Nakushauli endapo mtaji wako ni mdogo hata kama wa kuanzia laki tano na kuendelea tuwasiliane ili nikupe ishu ya kilimo ambacho waweza endeleza maisha yako vizuri tu. Unapata shamba la kukodi kwa msimu wa mwaka mzima, mazao yanayokubali eneo nilipo ni pamoja na mahindi, mpunga, mihogo na mananasi. Ardhi bado ni yenye rutuba aitaji mbolea, msimu umeanza.