Mlio Muhambwe na Buhigwe tupeni kinachoendelea

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,364
73,956
Bado masanduku ya kura hawajakimbia nayo?

Bado kura zilizopigwa tayari hazijatumbukizwa kwenye masanduku ya kura

Bado mawakala hawajafurushwa kutoka kwenye vituo vya kupigia kura?

Bado Majina ya wapiga kura wenu hayafutwa
 
Wavuruga uchaguzi hawajashiriki so obvious ni lazima amani itawale!
 
CCM LAZIMA ishinde ili kumpa Mwenyekiti wa Chama zawadi yake ya kwanza kama Mwenyekiti. Kwahiyo, lije jua, ije mvua LAZIMA tushinde majimbo yote mawili.
 
1.Kuna makubaliano kati ya Chadema na ACT kuwa wasimamishe mgombea mmoja kuepuka kugawana kura.

2. Chadema hairidhiki na NEC hii kusimamia uchaguzi wowote.
#2 ni sahihi. Otherwise haileti maana sana kukubaliana na ACT kuweka mgombea mmoja in a situation ambapo hakuna imani na NEC.

Ingekuwa bora zaidi CHADEMA kuwaconvince ACT nao pia wasusie hayo maigizo ili kupeleka ujumbe ulionyooka
 
Back
Top Bottom