Mlio kwenye ajira ndo chanzo cha ukosefu wa kazi

ndomyana

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
4,953
2,000
Hawa watu walio kwenye ajira ndio chanzo kikuu cha ukosefu ajira kwa sisi magraduet. Nasema hivi kwasababu kila ajira ikitangazwa na unapoenda interview zaidi ya nusu ya watu watu wanaoitwa ni watu waliomakazini na hao bada ya interview wanapewa kazi kutokana na experience waloi nayo.

Sisi tulio magraduet tunabaki kuangaika bila ajira. Ombi langu kaka na dada zangu naombeni mtulie na kazi mlizonazo muache uroho wa kuhamahama ofisi.
 
Obama wa Bongo

JF-Expert Member
May 10, 2012
5,327
2,000
sasa mdogo wangu fahamu hiki kitiu
mmoja anapaacha kazi kwenda ofisini nyingine ,mwingine analetwa kuziba pengo hakuna kibaya hapo
 
Zero One Two

JF-Expert Member
Sep 16, 2007
9,347
0
Hata mie hi iliniumizaga sana' pindi nimemaliza masomo' mnaenda sehemu, unakuta lijitu kwenye applicatio form za job linalipwa hata 1.3 mill, linakuja kwenye interview ambayo mtu halipwi hata jero
 
Obama wa Bongo

JF-Expert Member
May 10, 2012
5,327
2,000
mkuu hyo nafasi inajazwa na haohao wenye ozoefu ipo kama cycle ni kwamba wa EWURA anenda tanapa,aliekue NDC anenda EWURA ko ndo mzunguko huo
bado nivile vile mkuu
hiyo unayo zungumzia wewe ni application za senior na managerial ambazo dogo aliyetoka shule hawezi ku compete
lakini utakuta junior officer akipanda kuwa senior nani ataziba pengo lake?
 
omujubi

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
4,223
2,000
Hawa watu walio kwenye ajira ndio chanzo kikuu cha ukosefu ajira kwa sisi magraduet.
Nasema hivi kwasababu kila ajira ikitangazwa na unapoenda interview zaidi ya nusu ya watu watu wanaoitwa ni watu waliomakazini na hao bada ya interview wanapewa kazi kutokana na experience waloi nayo.

Sisi tulio magraduet tunabaki kuangaika bila ajira,.

Ombi langu kaka na dada zangu naombeni mtulie na kazi mlizonazo muache uroho wa kuhamahama ofisi.
hivi una habari kuwa rushwa ikikomeshwa kwa 50% na ajira zitaongezeka kwa kiasi hicho hicho? Maana right vacancy positions will be occupied by right peole.
Lakini nakukumbusha pia kuwa elimu na hasa graduates wanafundishwa kuwa wabunifu (creativity), lakini kumbe na nyie ndio mnataka kuingia kwenye mfumo ule ule ulioifikisha nchi hapa ilipo!?
Hapo kwenye red ukiendelea kuamini unavyoamini huenda ukaangaika sana kama sio milele maana watz wa leo tuna roho mbaya sana na sio kama wale wa mwaka 47

asante ndugu ntajaribu kufanya kubadili msimamo kaka
 
waubani

JF-Expert Member
Nov 21, 2012
540
250
UKUMBUKE PIA NA WAO WALIANZIA KUWA MAGRADUATE KAMA NYINYI!Time will tell..!
 
Penguin-1

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
404
225
Nilituma application 160 nilipomaliza shule,
Niliitwa interview kazi 1 tu ,sikufanya makosa,
miaka 3 baadaye hata simu nikawa sipokei...yaaani natafutwa tu
 
Penguin-1

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
404
225
ongera sana Mungu alikua nawe, naombea nami iwe hivo

Tatizo ni kwamba unakata tamaa na unalalamika sana.
we endelea kuomba tu nafasi za kazi..
Tulio kwenye ajira lazima pia na sisi tuhame hame katika kutafuta maslah bora ,wengine kazi zao hawazipendi( first job) ,na sababu mbali mbali..ukianza kazi utajua kwa nini huku nako mbio mbio....

Hapa nilipo mimi mwenyewe nahangaika na tume ya ajira ,sijawahi itwa hata mara moja...ila bado nimo nakimbizana nao sababu vigezo ninavyo sema ushindani mkubwa
 
Voice of Wisdom

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
537
250
Hawa watu walio kwenye ajira ndio chanzo kikuu cha ukosefu ajira kwa sisi magraduet.
Nasema hivi kwasababu kila ajira ikitangazwa na unapoenda interview zaidi ya nusu ya watu watu wanaoitwa ni watu waliomakazini na hao bada ya interview wanapewa kazi kutokana na experience waloi nayo.

Sisi tulio magraduet tunabaki kuangaika bila ajira,.

Ombi langu kaka na dada zangu naombeni mtulie na kazi mlizonazo muache uroho wa kuhamahama ofisi.

nataka nikupinge tena kwa nguvu, si kwa sababu nina kazi! La hasha(hata mimi nimehitimu chuo mwaka huu na natafuta kazi), ila kwa sababu ya ukweli wa mambo.
Kwanza ni mfumo wa elimu tulio nao ni wa kinadharia zaidi, hvyo unapomwajilri graduate inakulazimu uingie garama ya training, kwani vitu tunavyosoma shuleni ni tofauti na mambo ya kazi kwa kiasi kikubwa sana.
Hasara za kumwajiri fresh graduate ni:-
1. Hana uzoefu wa kazi=rate ya kukosea ni kubwa.=maximum supervision
2. Output ya fresh graduate ni ndogo kuliko ya mtu mwenye uzoefu.
Ukishaona kazi zinahtaji uzoefu, maana yake huyo mtu atahitajika kufanya kazi na maamuzi yenye bila supervision kwani expiriece is nothing but accumulation of previous mistakes therefore it reduces the probability of doing mistakes.
Hvyo basi kazi zinazohtaji expirience kwanza zinahtaji mtu anayejua kazi kwa vitendo na si nadharia.
Pili kazi yoyote inayohtaji uzoefu na ukaona watu wenye kazi wanaichangamkia tambua yafuatayo:
maslah yako ni makubwa kuliko ile kazi huyo mtu anayoiacha(orportunity cost)
job securitykatika kazi ya zamani ni ndogo kuliko aliyo nayo.
Kumbuka hakuna mtu mwenye kazi na ana uzoefu yupo tayari kusaliti kazi yake kwa hiyari yake na kufanya kaz yenye maslah duni kama/kuliko ya kwanza
 
Ze Bingwa

Member
Sep 27, 2011
79
95
nataka nikupinge tena kwa nguvu, si kwa sababu nina kazi! La hasha(hata mimi nimehitimu chuo mwaka huu na natafuta kazi), ila kwa sababu ya ukweli wa mambo.
Kwanza ni mfumo wa elimu tulio nao ni wa kinadharia zaidi, hvyo unapomwajilri graduate inakulazimu uingie garama ya training, kwani vitu tunavyosoma shuleni na mambo ya kazi kwa kiasi kikubwa sana.
Hasara
1. Hana uzoefu wa kazi=rate ya kukosea ni kubwa.=maximum supervision
2. Output ya fresh graduate ni ndogo kuliko ya mtu mwenye uzoefu.
Ukishaona kazi zinahtaji uzoefu, maana yake huyo mtu atahitajika kufanya kazi na maamuzi yenye bila supervision kwani expiriece is nothing but accumulation of previous mistakes therefore it reduces the probability of doing mistakes.
Hvyo basi kazi zinazohtaji expirience kwanza zinahtaji mtu anayejua kazi kwa vitendo na si nadharia.
Pili kazi yoyote inayohtaji uzoefu na ukaona watu wenye kazi wanaichangamkia tambua yafuatayo:
maslah yako ni makubwa kuliko ile kazi huyo mtu anayoiacha(orportunity cost)
job securitykatika kazi ya zamani ni ndogo kuliko aliyo nayo.
Kumbuka hakuna mtu mwenye kazi na ana uzoefu yupo tayari kazi yake kwa hiyari yake na kufanya kaz yenye maslah duni kama/kuliko ya kwanza
umenena mkuu huo ndio ukweli elimu yetu ipo kinadharia sana
 
zema21

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
619
225
nataka nikupinge tena kwa nguvu, si kwa sababu nina kazi! La hasha(hata mimi nimehitimu chuo mwaka huu na natafuta kazi), ila kwa sababu ya ukweli wa mambo.
Kwanza ni mfumo wa elimu tulio nao ni wa kinadharia zaidi, hvyo unapomwajilri graduate inakulazimu uingie garama ya training, kwani vitu tunavyosoma shuleni ni tofauti na mambo ya kazi kwa kiasi kikubwa sana.
Hasara za kumwajiri fresh graduate ni:-
1. Hana uzoefu wa kazi=rate ya kukosea ni kubwa.=maximum supervision
2. Output ya fresh graduate ni ndogo kuliko ya mtu mwenye uzoefu.
Ukishaona kazi zinahtaji uzoefu, maana yake huyo mtu atahitajika kufanya kazi na maamuzi yenye bila supervision kwani expiriece is nothing but accumulation of previous mistakes therefore it reduces the probability of doing mistakes.
Hvyo basi kazi zinazohtaji expirience kwanza zinahtaji mtu anayejua kazi kwa vitendo na si nadharia.
Pili kazi yoyote inayohtaji uzoefu na ukaona watu wenye kazi wanaichangamkia tambua yafuatayo:
maslah yako ni makubwa kuliko ile kazi huyo mtu anayoiacha(orportunity cost)
job securitykatika kazi ya zamani ni ndogo kuliko aliyo nayo.
Kumbuka hakuna mtu mwenye kazi na ana uzoefu yupo tayari kusaliti kazi yake kwa hiyari yake na kufanya kaz yenye maslah duni kama/kuliko ya kwanza
so what is your suggestion?
kwani hao walioko makazini nani kakwambia hawaendi training au seminar? kila wakati mifumo inabadilika so training ni lazima!
hakuna sehemu yoyote ulimwenguni wanamwajiri mtu pasipo kumfanyia training! hata kama ni duka la baba lazima atakufanyia training
 
SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,926
2,000
Hawa watu walio kwenye ajira ndio chanzo kikuu cha ukosefu ajira kwa sisi magraduet.
Nasema hivi kwasababu kila ajira ikitangazwa na unapoenda interview zaidi ya nusu ya watu watu wanaoitwa ni watu waliomakazini na hao bada ya interview wanapewa kazi kutokana na experience waloi nayo.

Sisi tulio magraduet tunabaki kuangaika bila ajira,.

Ombi langu kaka na dada zangu naombeni mtulie na kazi mlizonazo muache uroho wa kuhamahama ofisi.
Wewe sijui umesoma Shule ya wapi? Sehemu gani duniani hapa watu ambako hawabadilishi kazi? Acha kulalamika jipange na wewe uingie na usikute utakuwa wa kwanza kutafuta kazi nyingine. By the way hujui chochote watu wanahama kwa sababu nyingi. Halafu Sekretarieti ya ajira wameweka wazi mtu mwenye ajira asiombe kwenye nafasi za entry sasa kama hawatekelezi hilo walaumu wao sio waombaji. Nchi ya malalamiko hiyo
 
pole sana we hamahama najua nimekugusa, jua nawewe ni kati wa wasababisha ukosefu wa ajira upende uspende ndio ukweli
 
SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,926
2,000
pole sana we hamahama najua nimekugusa, jua nawewe ni kati wa wasababisha ukosefu wa ajira upende uspende ndio ukweli
Unanipa pole wakati mimi nina kazi wewe huna....Utabaki kusindikiza na kulalama. Dunia ya sasa sio ya kubwetetka kama wewe unalala usingizi endeleeeeeeeeeeeeeea, tuache wenye sifa tubadilishe kazi huku vilaza wakiendelea kulalamiak
 
Voice of Wisdom

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
537
250
pole sana we hamahama najua nimekugusa, jua nawewe ni kati wa wasababisha ukosefu wa ajira upende uspende ndio ukweli

yaani ingekuwa mimi wewe ningenyamaza kimya kwa maoni yaliyotolewa. Hata wewe ukiajiriwa leo na kesho ukaona nafasi ambayo una vgezo na ina masah kuliko uliyo nayo utaiomba. "Every one seeks for green pasture"
think like wise literate and never thinks as a stupid literate who attends class so that people could count him as of of the literate. Mi ni kijana niliyehitimu chuo, ila wakati mwingine kwa sababu ya watu wasiopenda kustrech brain zao kama wewe naona aibu kujivunia elimu yangu mbele za watu. Unaboa, unafanya watu huku mitaani waone elimu ya sasa haina maana na kuwadharau waliosoma, kwa sababu ya watu kama wewe ambao wakitoa hoja zao ni nyepesi na hazi-add value katika jamii!
Kuthibitisha nayosema, embu pitia uzi wako uone nani kaunga mkono hoja yako nyepesi?
Naona inatosha kama hutaelewa!
 
Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,100
2,000
Hawa watu walio kwenye ajira ndio chanzo kikuu cha ukosefu ajira kwa sisi magraduet.
Nasema hivi kwasababu kila ajira ikitangazwa na unapoenda interview zaidi ya nusu ya watu watu wanaoitwa ni watu waliomakazini na hao bada ya interview wanapewa kazi kutokana na experience waloi nayo.

Sisi tulio magraduet tunabaki kuangaika bila ajira,.

Ombi langu kaka na dada zangu naombeni mtulie na kazi mlizonazo muache uroho wa kuhamahama ofisi.

Serikali yako ndio inapaswa kuweka mazingira muafaka kuwezesha ajira mpya, ama sivyo hakuna mtu alizaliwa kufanya kazi sehemu moja, hata wewe futa kabisa hiyo mentality, usidhani wote wanaoacha kazi wanaacha kwa kupenda.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom