Mlio karibu na Rais Samia, mwambieni ukweli kuwa mtaani biashara haziendi

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
9,032
2,000
Hali mtaani inakuwa mbaya zaid na zaidi.

Biashara haziendi wateja amna hatuelewi nn shida?

Njoo kariakoo asubuhi mpaka jioni biashara zimegoma.

Njoo Sinza madukani maduka yako wazi kuanzia asubuhi mpaka jioni hata wale wa kuulizia.

Hata yake maduka tuliozoea kuona yamejaa watu kama vunjabei na usiendekariakoo nao saa hizi siku nzima wanaingia watu wachache sana tofauti na tulivyozoea.

Nini shida?
Tunatawaliwa na wageni.
 

Kiti Chema

JF-Expert Member
Oct 18, 2017
1,253
2,000
Hasa sisi mafundi finishingi na umeme kazi hakuna mtaani, yaani ile kauli ya mwenye fani hafi njaa mjini hiyo ifutwe kabisa kwa sasa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom