Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,730
- 2,850
Kumbuka walivyokuwa wanamtukana magufuli na kama binadamu unadhani hakua na moyo?Why utoe tusi
Huwezi kosoa bila matusi?
Wapi uliona nimemtukana Magufuli?..
Kumbuka walivyokuwa wanamtukana magufuli na kama binadamu unadhani hakua na moyo?Why utoe tusi
Huwezi kosoa bila matusi?
Wapi uliona nimemtukana Magufuli?..
Tatizo kila MTU machinga, biashara kila Kona.hela hakuna kabisa mtaani.
Waliokuwa wanamtukana magufuli ni viongozi na wengine ambao walitolewa kwenye ulaji na mdaraka pia wana CCM,Why utoe tusi
Huwezi kosoa bila matusi?
Wapi uliona nimemtukana Magufuli?..
Kwani huyo mama alikua wapi? Si na yeye alikua ni Raisi wakipindi hicho.Usitetee ujinga, chanzo cha yote haya ni jiwe. leo Mama anahangaika kurekebisha mifumo iliyovurugwa na jiwe ndio maana mambo hayaendi.Bora Mama mara 1000 kuliko Jiwe.
Si hata Sasa top yupo Msoga gang au uwezo wake ndo umefika kikomo?
Kwan dodoma kilimo cha mahindi kimetaradadi kama mikoa ya nyanda za juu kusini. Nenda hiyo mikoa au ulizia bei tukwambie, rukwa saiz mahindi ni 30 gunia, ila ndan ya Rukwa humo humo kuna sehemu gunia n elfu 35 na kuna sehem gunia ni elfu 23+ (vijijini). Nenda Songwe, gunia n elfu 25-30, mbeya hivo hivo. Sasa sijui unataka kufananisha bei ya dom na agricultural regions.Mahindi bei chini wapi, hapa dodoma junia 52,000/= , mahindi bei imeshoot sana na lazima junia lifike 70,000/=
Wewe ni muongo mkubwa zuzu kabisa,mtaa gani ambao biashara haziendi? Aisee saizi kuna nafuu hadi rahaHali mtaani inakuwa mbaya zaid na zaidi.
Biashara haziendi wateja amna hatuelewi nn shida?
Njoo kariakoo asubuhi mpaka jioni biashara zimegoma.
Njoo Sinza madukani maduka yako wazi kuanzia asubuhi mpaka jioni hata wale wa kuulizia.
Hata yake maduka tuliozoea kuona yamejaa watu kama vunjabei na usiendekariakoo nao saa hizi siku nzima wanaingia watu wachache sana tofauti na tulivyozoea.
Nini shida?
Waulize mafundi Kazi hakuna? Utapata jibuhela hakuna kabisa mtaani.
Haya wee endelea kula kiyoyozi, mwisho wa mwezi si mshahara unaingia kakingeWanasema ukuona biashara zinafungwa ndio ujue hakuna pesa, lakini biashara ipo daily basi jua mambo yanasonga.
Hivyo wafanyabiashara tambueni siku azilingani na muache kulia lia..
Huwa nawatazama sana watu wanaowaambia wengine kupambana au kufanya biashara fulani as if ni kitu rahisi au kimenyooka kama barabara ya ulayaKwan dodoma kilimo cha mahindi kimetaradadi kama mikoa ya nyanda za juu kusini. Nenda hiyo mikoa au ulizia bei tukwambie, rukwa saiz mahindi ni 30 gunia, ila ndan ya Rukwa humo humo kuna sehemu gunia n elfu 35 na kuna sehem gunia ni elfu 23+ (vijijini). Nenda Songwe, gunia n elfu 25-30, mbeya hivo hivo. Sasa sijui unataka kufananisha bei ya dom na agricultural regions.
Lakini pia mwez wa tisa serikali ilikuja na mkakati wa kununua mahindi yenyewe huku Rukwa, gunia walikuwa wananunua elfu 50 ila sasa wanahitaji mahindi yaliyo safi maana asilimia 95 ya mahindi ya Tz n machafu. Sasa ukipeleka gunia linapepetwa na mahind mabovu yanaokotwa mpaka unakuta debe mbili zimesepa. Watu walioshoboka na bei za serikal wakapeleka mahind mbona walirudisha kwenye maghala yao wenyewe. Mbaya zaidi hiyo shughuli yote ya upepetaji, usafirishaji wa mahindi, ushushaji wa hayo mahind ni juu yako mmliki wa hayo mahindi. Ambapo kwa mahesabu mpk shughuli ya kuchambua gunia moja inaisha mtu sh 8000 inamtoka, gunia linabak 42,000. Haya hapo toa tena lose ya debe mbili weweeeeee. Kama huyajui haya mambo we nyamaza tuuu
FactAngalau hatuogopi JF kufungwa
Wala hatuogopi Maxence Melo kukamatwa tena.
Wala hatuogopi kukamatwa kwa kumpinga Samiah watsap wala hapa JF.
Hali ya uchumi itarudi Tu with time
Yeye hajui hata bei ya nyanya mkuuHali mtaani inakuwa mbaya zaid na zaidi.
Biashara haziendi wateja amna hatuelewi nn shida?
Njoo kariakoo asubuhi mpaka jioni biashara zimegoma.
Njoo Sinza madukani maduka yako wazi kuanzia asubuhi mpaka jioni hata wale wa kuulizia.
Hata yake maduka tuliozoea kuona yamejaa watu kama vunjabei na usiendekariakoo nao saa hizi siku nzima wanaingia watu wachache sana tofauti na tulivyozoea.
Nini shida?
Tena sahivi ni kipindi cha mavuno, mwezi wa 12-3 itakuwa balaa mara 20Ukweli hali hii imekuwa ngumu isivyo elezeka mpaka hatujui pa kuanzia
Wenzenu wa manyara, mahindi yanapokua bei chini, wanakoboa na kusafirusha sembe mpaka central zone au lake zone, wakufika wanaua soko, wanauza chap na kupiga faidaKwan dodoma kilimo cha mahindi kimetaradadi kama mikoa ya nyanda za juu kusini. Nenda hiyo mikoa au ulizia bei tukwambie, rukwa saiz mahindi ni 30 gunia, ila ndan ya Rukwa humo humo kuna sehemu gunia n elfu 35 na kuna sehem gunia ni elfu 23+ (vijijini). Nenda Songwe, gunia n elfu 25-30, mbeya hivo hivo. Sasa sijui unataka kufananisha bei ya dom na agricultural regions.
Lakini pia mwez wa tisa serikali ilikuja na mkakati wa kununua mahindi yenyewe huku Rukwa, gunia walikuwa wananunua elfu 50 ila sasa wanahitaji mahindi yaliyo safi maana asilimia 95 ya mahindi ya Tz n machafu. Sasa ukipeleka gunia linapepetwa na mahind mabovu yanaokotwa mpaka unakuta debe mbili zimesepa. Watu walioshoboka na bei za serikal wakapeleka mahind mbona walirudisha kwenye maghala yao wenyewe. Mbaya zaidi hiyo shughuli yote ya upepetaji, usafirishaji wa mahindi, ushushaji wa hayo mahind ni juu yako mmliki wa hayo mahindi. Ambapo kwa mahesabu mpk shughuli ya kuchambua gunia moja inaisha mtu sh 8000 inamtoka, gunia linabak 42,000. Haya hapo toa tena lose ya debe mbili weweeeeee. Kama huyajui haya mambo we nyamaza tuuu
Hiyo n plan B kwa wenye mahindi ya kutosha. UmeongeapointWenzenu wa manyara, mahindi yanapokua bei chini, wanakoboa na kusafirusha sembe mpaka central zone au lake zone, wakufika wanaua soko, wanauza chap na kupiga faida
Tunatawaliwa na wageni.Hali mtaani inakuwa mbaya zaid na zaidi.