man of sun
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 331
- 460
Ngoja moto uwawakiae ***** nyie si mnajifanya kushadadikia ccm kama mmezaliwa nayo nabado tuna wakill kwa chanjo mamaee mtaelewa tuuu
Hali mtaani inakuwa mbaya zaid na zaidi.
Biashara haziend wateja amna hatuelewi nn shida?
Njoo kariakoo asubuhi mpaka jioni biashara zimegoma.
Njoo sinza madukan maduka yako wazi kuanzia asubuh mpk jion hata wale wa kuulizia.
Hata yake maduka tuliozoea kuona yamejaa watu kama vunjabei na usiendekariakoo nao sahiz siku nzima wanaingia watu wachache sana tofaut na tulivyozoea.
Nini shida?
Pole kwa biashara zako zisizoenda poa, sisi tunauza vizuri tu mbona?Hali mtaani inakuwa mbaya zaid na zaidi.
Biashara haziend wateja amna hatuelewi nn shida?
Njoo kariakoo asubuhi mpaka jioni biashara zimegoma.
Njoo sinza madukan maduka yako wazi kuanzia asubuh mpk jion hata wale wa kuulizia.
Hata yake maduka tuliozoea kuona yamejaa watu kama vunjabei na usiendekariakoo nao sahiz siku nzima wanaingia watu wachache sana tofauti na tulivyozoea.
Nini shida?
Na badohela hakuna kabisa mtaani.
Usitetee ujinga, chanzo cha yote haya ni jiwe. leo Mama anahangaika kurekebisha mifumo iliyovurugwa na jiwe ndio maana mambo hayaendi.Bora Mama mara 1000 kuliko Jiwe.Kaeni hivo hivo dawa iwaingie maana mlishangilia kifo Cha jiwe kwa kusema mambo yatakuwa Safi mtaani, Kwa lugha nyepesi vyuma vitalegea.
Mwanamke ameumbwa kwajili ya kuwa msaidizi tu nasiyo Top.. That's nature.
Bado sana kushangilia chochote chini ya utawala wa ccm.Wala hatuogopi kukamatwa kwa kumpinga Samiah watsap wala hapa JF.
Acha umama kivuruge wewe.Usitetee ujinga, chanzo cha yote haya ni jiwe. leo Mama anahangaika kurekebisha mifumo iliyovurugwa na jiwe ndio maana mambo hayaendi.Bora Mama mara 1000 kuliko Jiwe.
Mahindi bei chini wapi, hapa dodoma junia 52,000/= , mahindi bei imeshoot sana na lazima junia lifike 70,000/=Mvua zilizoanza kunyesha zinatuchanganya sanaaaa. Mbolea bei juuuuu mahindi bei chini. Sasa mnataka tuuze mahindi yote ndo tununue mbolea au? Sasa tutakula nini? Yani mama asipomwaga hela hapa kwenye mbolea I swear mwakani watakaokuwa na mahindi wataitwa maboss
Dikteta ndio alivuruga uchumi, mama anajitaidi kuuweka sawaMlimsingizia mwendazake, tuone sasa
Huyo dada poa, kwaiyo kwasasa kwenye biashara yao hamna watejaPole kwa biashara zako zisizoenda poa, sisi tunauza vizuri tu mbona?
- Boresha huduma kwa wateja
- Tangaza biashara yako
- Weka mzigo wa kutosha
- Furahia biashara.
Jinga jingine hili ....Usitetee ujinga, chanzo cha yote haya ni jiwe. leo Mama anahangaika kurekebisha mifumo iliyovurugwa na jiwe ndio maana mambo hayaendi.Bora Mama mara 1000 kuliko Jiwe.
Yule mchora katuni alikamatwa awamu ipi kweli?Angalau hatuogopi JF kufungwa
Wala hatuogopi Maxence Melo kukamatwa tena.
Wala hatuogopi kukamatwa kwa kumpinga Samiah watsap wala hapa JF.
Hali ya uchumi itarudi Tu with time
Si hata Sasa top yupo Msoga gang au uwezo wake ndo umefika kikomo?Kaeni hivo hivo dawa iwaingie maana mlishangilia kifo Cha jiwe kwa kusema mambo yatakuwa Safi mtaani, Kwa lugha nyepesi vyuma vitalegea.
Mwanamke ameumbwa kwajili ya kuwa msaidizi tu nasiyo Top.. That's nature.
Jaribu kutoa tusi kama mlivyokuwa mnamtukana magufuri uone kama hutatafutwa kisha ulete hapa hayo maadiko yako.Angalau hatuogopi JF kufungwa
Wala hatuogopi Maxence Melo kukamatwa tena.
Wala hatuogopi kukamatwa kwa kumpinga Samiah watsap wala hapa JF.
Hali ya uchumi itarudi Tu with time
Jaribu kutoa tusi kama mlivyokuwa mnamtukana magufuri uone kama hutatafutwa kisha ulete hapa hayo maadiko yako.
Na hatua zisipochukuliwa basi tutajua mama kaamua kukusanya kila kitu kwenye banda hata vya kuoza anaishi navyo bila taabu.
Na usifiche id yako huko whatsApp.
Wapi kuna tusi hapoWhy utoe tusi
Huwezi kosoa bila matusi?
Wapi uliona nimemtukana Magufuli?..