Mlinzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

mnazungumzia ulinz wa rais, sio wa mchezo yani ukitoa huyo mpambe,rais analindwa na watu wasiopunguza 80 na ambazo huwa wanaonekana ni kama 40 hivi, na walio bakia hao ndo invisible huwez watambua kama wapo,mpaka uone pukurushan utashangaa na kujiulza hii team imetokea wap!!!! ila mi nina mashaka sana na hii TISS yetu ilivyo,,
 
Habari zenu wakuu.

Kuna ubishi umetokea mkubwa sana kuhusiana na bodyguard anaesimama nyuma ya Rais, yule anaeva magwanda. Huwa anakuwa ni yule yule kila siku au wako wengi na wanapeana zamu?

Nitashukuru kwa majibu yenu ili tuweze kumaliza ubishi kati yetu.
 
Nyie endeleeni tu na ubishi wenu watu wazima mnabisha
 
Nijaribu nini sasa? Yule mganga wa kienyeji mwanza alishajaribu. Mibaba mizima zaidi ya ishirini ikamvamia ingawa hakua na silaha. Ndio mnaona sifa? Pathetic. Katoto ka miaka sita kakimkaribia rais maafisa usalama mia watakavamia na kukaua. Ndio ulinzi wa rais huo. Ha, ha, ha
Katika mambo ya usalama unaambiwa trust nobody hata kama ni mtoto wa miezi 6 anaweza kukuua.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom