Haaaahaaaahhaaa!!!Nanga
Yaani kwa sasa wanaona kila kitu kipya kindhihaki mtu wao? Lo!Wamechanganyikiwa hao baada ya kuchwa ghafla
Tatizo letu tunawapa ufanisi wa roboti kiutendaji. Hao ni binadamu kama mimi na wewe tu hawana maajabu tunayodanganyana kila siku.
Mbona Marais hujikwaa
Biden mfano juzi tu hapo
Hata Rais Joe Biden alijikwaa na kutaka kudondoka kwenye ngazi za ndege, kwa hiyo siyo ajabu kwa binadamu kujikwaa!Katika tukio ambalo si la kawaida, mmoja kati ya walinzi wa Rais Samia Suluhu, almanusura adondoke chini mara baada ya kujikwaa, shukrani zimuendee askari wa JWTZ aliyekuwa karibu nae kwa kumdaka asiende chini.
Tukio hilo limetokea wakati Rais Samia Suluhu alipokuwa anaenda uwanjani kuwatunuku degeee maafisa wapya wa jeshi ambao wamepata kamisheni leo.
Heko kwa yule afande wa JWTZ aliyemzuia mlinzi asidondoke kwani isingeleta picha nzuri.
Wivu tuuuu!!Macho yake hayako sharp abadilishwe, inatakiwa kushirikisha macho kuanzia chini hadi juu. Chukilia ASINGEDAKWA AKAmwangukia Mama Samia naye akaanguka shughuli ingekuwa pevu aondolewe kwenye kundi la ulinzi arudi kikosini. Hafai huyo
Kwa kweli hayuko sawa ana maamuzi ya harakaHuyo Jamaa/ bibie namuonaga kama amedata hivi ! Ana ukichaa fulan hivi..
Hata mimi huwa nawaza..... hahahaa!..hivi wale walinzi wanawake wote wameolewa?
..kuna mmoja mnene-mnene nimemuona.
Nyani Ngabu, YEHODAYA
No evidenceKatika tukio ambalo si la kawaida, mmoja kati ya walinzi wa Rais Samia Suluhu, almanusura adondoke chini mara baada ya kujikwaa, shukrani zimuendee askari wa JWTZ aliyekuwa karibu nae kwa kumdaka asiende chini.
Tukio hilo limetokea wakati Rais Samia Suluhu alipokuwa anaenda uwanjani kuwatunuku degeee maafisa wapya wa jeshi ambao wamepata kamisheni leo.
Heko kwa yule afande wa JWTZ aliyemzuia mlinzi asidondoke kwani isingeleta picha nzuri.
Hata mimi huwa nawaza..... hahahaa!
Ila kuna mmoja hivi...mwembamba kiasi.
Kakaa vizuri kimatumizi 🤣
Baden tuliona video yake.. Huyu vipi? Tuwekee video yakeKatika tukio ambalo si la kawaida, mmoja kati ya walinzi wa Rais Samia Suluhu, almanusura adondoke chini mara baada ya kujikwaa, shukrani zimuendee askari wa JWTZ aliyekuwa karibu nae kwa kumdaka asiende chini.
Tukio hilo limetokea wakati Rais Samia Suluhu alipokuwa anaenda uwanjani kuwatunuku degeee maafisa wapya wa jeshi ambao wamepata kamisheni leo.
Heko kwa yule afande wa JWTZ aliyemzuia mlinzi asidondoke kwani isingeleta picha nzuri.
Watu mna maneno. Kuku yupo chini chinikuku mwenyewe yupo chinichini ila anaanguka seuze binadamu??
#dumesuruali...
Sent from my TECNO BC2 using JamiiForums mobile app
Ata Kama angeanguka hasingemwangukia Kama unavyotoa maelezo wewe, Nilikuwa nafuatilia live kwenye Tv Ni kawaida, Kaanguka raisi wa Marekani Mara 3, Sembuse huyo kujikwaa..Macho yake hayako sharp abadilishwe, inatakiwa kushirikisha macho kuanzia chini hadi juu. Chukilia ASINGEDAKWA AKAmwangukia Mama Samia naye akaanguka shughuli ingekuwa pevu aondolewe kwenye kundi la ulinzi arudi kikosini. Hafai huyo
Hata mama samia alijikwaa kwenye ngazi za ndege wakati akishuka alipokuwa anarudia kutoka Uganda.Mbona Marais hujikwaa
Biden mfano juzi tu hapo
Hata Mimi Kuna mmoja nammaindi Sana pale...hivi wale walinzi wanawake wote wameolewa?
..kuna mmoja mnene-mnene nimemuona.
Nyani Ngabu, YEHODAYA