Mlinzi wa Rais Samia Suluhu ajikwaa, almanasura aanguke

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,397
3,491
Katika tukio ambalo si la kawaida, mmoja kati ya walinzi wa Rais Samia Suluhu, almanusura adondoke chini mara baada ya kujikwaa, shukrani zimuendee askari wa JWTZ aliyekuwa karibu nae kwa kumdaka asiende chini.

Tukio hilo limetokea wakati Rais Samia Suluhu alipokuwa anaenda uwanjani kuwatunuku degeee maafisa wapya wa jeshi ambao wamepata kamisheni leo.

Heko kwa yule afande wa JWTZ aliyemzuia mlinzi asidondoke kwani isingeleta picha nzuri.
 
Macho yake hayako sharp abadilishwe, inatakiwa kushirikisha macho kuanzia chini hadi juu. Chukulia ASINGEDAKWA AKAmwangukia Mama Samia naye akaanguka shughuli ingekuwa pevu aondolewe kwenye kundi la ulinzi arudi kikosini. Hafai huyo
 
Back
Top Bottom