Mlinzi wa nyumba ya mbunge wa singida anusurika kipigo

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
mlinzi wa nyumba ya mbunge wa singida mjini Mh Dewji,amenusurika kipigo baada ya kutuhumiwa kufanya wizi wa simu pale Morning glory hotel areac jana,Leo walimkamata na kumsachi na kumkuta na simu hyo na ndipo alipowatoroka na kuwakimbia na kuingia ndani .
 
Back
Top Bottom