Mlinzi wa mnara wa simu auzima mnara anaoulinda

Kajole

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
1,667
1,642
Wakuu habari?,leo iringa kuna kioja kimetokea hvyo napenda niwashikishe...kuna mlinzi wa mnara wa mtandao mmoja wa simu ya mkononi jana usiku kama saa 2 hivi ameuzima mnara aulindao kisha kufunga fensi ya mnara huo na kuondoka na funguo hvyo kusababisha kukosekana kwa mawasiliano kwa watu ambao wanapata huduma kupitia mnara huo. Kishakamatwa na polisi ili ahojiwe kwa nini ameamua kufanya hvyo,tutajuzana zaidi. Ok niwatakie kazi njema
 
Alizima security light tu! Walinzi wa minara hawana access ya kukifikia kitufe cha kuzimia mnara wa mawasiliano
 
ahojiwe kabla ya hapo alishawahi kufanyakazi tanesco? Inawezekana amejichanganya.
 
Ntarudi baadae au jamaa atakuwa anadai mshahara wa miezı kama 3 nını?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom