Mlinzi wa maktaba ya mkoa Kilimanjaro anawalinda makahaba wa Malindi, afutwe kazi

Usinge fuata hao wauza nyapu sidhani kama yangetokea hayo...kwani tele hapajui..unaagizia tu popote ulipo...unaletewa unatumia unampa chake maisha yanaendelea..mbona maisha yamerahisishwa sana sikuhizi kwa wazinzi.

#MaendeleoHayanaChama
Tele ndo wapi mkuu!
 
Mjini hakuna cha bure, hayo makofi mazito huwa yanauzwa na gharama yake ni sawa na bei ya note 10+ jumlisha 100K iliyobaki kwa👮.
Cha msingi adamke maktaba asubuhi kudai risiti ya EFD.
 
Na kwanini mwanachuo na akili zako uende sehem hatarishi kama hiyo na simu na pesa zote hizo ulishindwa vipi kuviacha nyumbani
 
Habari zenu wana jamii, nipo na dukuduku Zito Leo limenifika kooni maana huu utapeli na ujanjaujanja inabidi tuupige kiberiti. Soma hapa chini kwa taarifa zaidi.

Juzi usiku nikiwa natoka soko la mbuyuni naelekea Malindi night club kupata moja baridi, moja ya moto mishale ya saa nne usiku niliweza kuona mambo ya kihuni yanayoendelea hapa moshi mjini, iko hivi.

Nilimwona mwanaume mmoja ambae kwa kuhisi niliona yupo moto kweli, dhakari yake inahitaji kitu roho inapenda ikabidi amfate kahaba mmoja hivi akiwa kwenye korido lefu la maktaba ya mkoa wa kilimanjaro anauza MAKU, jamaa akaona sio mbaya kwenda kubagain lakini baada ya mda mchache yafuatayo yalitokea.

Jamaa alianza kupiga kelele huku wakipigana na yule kahaba kuwa kaibiwa simu yake aina ya Samsung note ten plus na waleti yake ilikuwa na laki mbili watu ikabidi tuende kusikiliza Kuna nini.

Baada ya jamaa kutishwa na watu wenye asili ya wavuta bangi na makovu mengi usoni mimi ikabidi niingilie Kati nikasema inabidi asikilizwe huenda kaiba kweli.

Baada ya hiyo kauli niliyotoa nikaona mlinzi wa maktaba anafoka huku akimtisha jamaa kumpeleka kituo cha polisi kwani kitendo walichofanya hakiruhusiwi, lakini cha ajabu fumba na kufumbua yule Malaya hatukumwona tena, ila jamaa akasema lazima aende polisi kushitaki.

Baada ya jamaa kusema anaenda polisi, nikaona yule security guard ameingia ndani akaja akampa laki moja huyu jamaa, huku akimpiga makofi mazito kuwa asrudie tena kufanya huu upuuzi.

Jamaa akasema simu na pesa nyingine iko wapi? Nikaona watu wanaanza kumfokea kuwa ashukuru mungu hata hiyo laki amepata kutoka kwa mlinzi.

Swali langu,,... Je ni kweli huyu mlinzi anaweza toa laki moja kwa huyu jamaa anaedai kaibiwa na kahaba laki mbili na simu yake? Kuna upendo wa hivi kweli? Na kama ndio, kwanini ampe laki halafu amzabe makofi?.
Pale mm kisha wahi kumkaba kahabammoja alikuwa anaishi majengonpale opposite na open univesity, alinichomolea la ten langu , wakat mm nikiwa napiga copulation basi bibie akajua mie nime data na mbususu yake si ndo akaichomoa la ten ..

Basi nimemaliza kuji search nimtoe mitano yake nakuta kuna mitano ile ile wakat nilikuwa na 15k ...aisee nilimkwida robaaa iyooo ile roba sio ya mbao ni gogo
Mbona litoa 5k yangu

Huyo jamaa alikuwa tayooo ange kunjua msuli wake wa kiume iyo biashara ilikuwa ni baina yake na huyo dada tu
 
Habari zenu wana jamii, nipo na dukuduku Zito Leo limenifika kooni maana huu utapeli na ujanjaujanja inabidi tuupige kiberiti. Soma hapa chini kwa taarifa zaidi.

Juzi usiku nikiwa natoka soko la mbuyuni naelekea Malindi night club kupata moja baridi, moja ya moto mishale ya saa nne usiku niliweza kuona mambo ya kihuni yanayoendelea hapa moshi mjini, iko hivi.

Nilimwona mwanaume mmoja ambae kwa kuhisi niliona yupo moto kweli, dhakari yake inahitaji kitu roho inapenda ikabidi amfate kahaba mmoja hivi akiwa kwenye korido lefu la maktaba ya mkoa wa kilimanjaro anauza MAKU, jamaa akaona sio mbaya kwenda kubagain lakini baada ya mda mchache yafuatayo yalitokea.

Jamaa alianza kupiga kelele huku wakipigana na yule kahaba kuwa kaibiwa simu yake aina ya Samsung note ten plus na waleti yake ilikuwa na laki mbili watu ikabidi tuende kusikiliza Kuna nini.

Baada ya jamaa kutishwa na watu wenye asili ya wavuta bangi na makovu mengi usoni mimi ikabidi niingilie Kati nikasema inabidi asikilizwe huenda kaiba kweli.

Baada ya hiyo kauli niliyotoa nikaona mlinzi wa maktaba anafoka huku akimtisha jamaa kumpeleka kituo cha polisi kwani kitendo walichofanya hakiruhusiwi, lakini cha ajabu fumba na kufumbua yule Malaya hatukumwona tena, ila jamaa akasema lazima aende polisi kushitaki.

Baada ya jamaa kusema anaenda polisi, nikaona yule security guard ameingia ndani akaja akampa laki moja huyu jamaa, huku akimpiga makofi mazito kuwa asrudie tena kufanya huu upuuzi.

Jamaa akasema simu na pesa nyingine iko wapi? Nikaona watu wanaanza kumfokea kuwa ashukuru mungu hata hiyo laki amepata kutoka kwa mlinzi.

Swali langu,,... Je ni kweli huyu mlinzi anaweza toa laki moja kwa huyu jamaa anaedai kaibiwa na kahaba laki mbili na simu yake? Kuna upendo wa hivi kweli? Na kama ndio, kwanini ampe laki halafu amzabe makofi?.
Sikiliza wewe, hii stori ni yako usizungushe mambo hapa. pole sana lakini acha hayo mambo. Dunia imebadilika sana hata huko mikoani mambo sio mazuri.
 
Back
Top Bottom