leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 2,184
- 10,234
Haifunguki mi sijaonaUsiwe na presha maana Dunia nzima inafuatilia Video hiyo
Haifunguki mi sijaonaUsiwe na presha maana Dunia nzima inafuatilia Video hiyo
Unachoweza ni kuwasifia wanaume wenzako. Wakikutaka utakataa?
Mboga mwenzako huyoKaa kwa kutulia
Lucas ninaamini kuwa wewe ni mtu mzima mwenye akili timamu, epuka sana matumizi ya maneno haya kwenye maandiko yako "Watanzania" wewe sio msemaji wa Watanzania usiwazungumzie, Sentensi ya "duniani kote" usipende kuitumia kimaaba, wewe uko Tanzania tu kipimo cha duniani kote unakitoa wapi?
Ndugu zangu Watanzania,
Dunia nzima inaendelea kufuatilia kwa ukaribu sana na kwa umakini wa hali ya juu sana juu ya Ziara ya Mheshimiwa Rais Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Nchini Urussi.
Ambapo vyombo mbalimbali vya Habari Duniani kote vimeonekana kupigana vikumbo kupata taarifa za kila dakika za Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania.
Ikumbukwe ya kuwa RAIS Samia ni kiongozi Mwenye ushawishi zaidi Duniani na ambaye amekuwa anafuatiliwa sana mitandaoni na kila sehemu. kutokana na uchapakazi wake na nguvu ya ushawishi aliyonayo kwa sasa .
Sasa kuna kitu cha kuvutia kimetokea katika ziara hiyo ya Mheshimiwa Rais.Ambapo ni kuonekana kwa Mlinzi maarufu Wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli na aliyejizolea umaarufu Mkubwa Duniani kote . kutokana na umakini ,umahiri na uhodari wake katika Suala zima la Ulinzi na Usalama Wa Rais.
Ambapo Mlinzi hiyo ameonekana akiwa Mwenye Tabasamu ,furaha na bashasha pale alipokuwa akisalimiana ana kwa ana na Mheshimiwa Amiri Jeshi Mkuu wetu Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Ni tukio Ambalo limevutia na kuteka hisia za watu wengi sana Duniani kote . ni tukio ambalo limewakosha watu wengi sana hasa kutokana na ukweli kuwa Mlinzi huyo amekuwa akipendwa , kukubalika na kufuatiliwa na watu wengi sana Duniani kote.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Samia Amepokelewa na waziri wa maendeleo/Uchumi Russia huyo Putin akija na sisi tunampelekea Makonda Airport.

Hippopotumus wanajitambua kivipi zaidi ya akili za kwenye maji?Wewe endelea na Mitunguli yako. Mada hizi achia wenye akili Timamu na wanaojitambua
Unachoweza ni kuwasifia wanaume wenzako. Wakikutaka utakataa?
Ambapo vyombo mbalimbali vya Habari Duniani kote vimeonekana kupigana vikumbo kupata taarifa za kila dakika za Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania.
Na nyie muache tabia ya kutuaminisha kuwa maudenda anayekinukisha nyuma ya nondo anakubalika na watanzania wote..Lucas ninaamini kuwa wewe ni mtu mzima mwenye akili timamu, epuka sana matumizi ya maneno haya kwenye maandiko yako "Watanzania" wewe sio msemaji wa Watanzania usiwazungumzie, Sentensi ya "duniani kote" usipende kuitumia kimaaba, wewe uko Tanzania tu kipimo cha duniani kote unakitoa wapi?
Jifunze na tumia akili yako vizuri.
We kazungumzie mahirizi, na rangi za wanyama vilingeni...,haya ya huku huwezi kuyajua na hata akili hyo huna.Unachoweza ni kuwasifia wanaume wenzako. Wakikutaka utakataa?
Kama mambo ya kupokea viongozi mashuhuri katika nchi hususani panapokuwepo na mkusanyiko wa viongozi wengi huyajui ni vzr uwe unauliza ili upanue akili kuliko kupanua vidole.Amepok
Samia Amepokelewa na waziri wa maendeleo/Uchumi Russia huyo Putin akija na sisi tunampelekea Makonda Airport.
Nawafungulia wote ili mfurahi wenyeweHaifunguki mi sijaona
Kama una hasira sana basi kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata MbinguniWewe kweli toilet paper ya lumumba wanakutumia kama wale wadada riverside 🤣💩💩💩
Bila shaka wewe siyo mtanzania ni Mhamiaji Haramu.Lucas ninaamini kuwa wewe ni mtu mzima mwenye akili timamu, epuka sana matumizi ya maneno haya kwenye maandiko yako "Watanzania" wewe sio msemaji wa Watanzania usiwazungumzie, Sentensi ya "duniani kote" usipende kuitumia kimaaba, wewe uko Tanzania tu kipimo cha duniani kote unakitoa wapi?
Jifunze na tumia akili yako vizuri.
Nikajua ulishakufa kama Mbwa KokoMboga mwenzako huyo
Wewe ndio huna faida si unaona hata lumumba wanakutumia kama choo cha stendi, huna kazi huna mbele wala nyuma, unashinda jf kudanga tu 💩💩💩Kama una hasira sana basi kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
Anaitwa nani huyo mlinzi ?Ni tukio Ambalo limevutia na kuteka hisia za watu wengi sana Duniani kote . ni tukio ambalo limewakosha watu wengi sana hasa kutokana na ukweli kuwa Mlinzi huyo amekuwa akipendwa , kukubalika na kufuatiliwa na watu wengi sana Duniani kote.
Dogo Mimi situmiki na mtu.mimi ni mzalendo. Mimi ni Mwana CCM kindakindaki .Mimi Ni Mfuasi wa Rais wetu Mpendwa na ninayemuunga Mkono RAIS wetu Mpaka Dakika ya MwishoWewe ndio huna faida si unaona hata lumumba wanakutumia kama choo cha stendi, huna kazi huna mbele wala nyuma, unashinda jf kudanga tu 💩💩💩
Nimecheka 😂We humaliz ht miaka saba Utakuwa Sam Smith.