Mlinzi kipofu

bothlegs

Senior Member
Apr 14, 2009
122
48
Kuna Kampuni moja ilimuajiri mlinzi kipofu.Mashariti ya kupita katika geti la Kampuni ni lazima uwe kipara. Unapotaka kupita yule mlinzi anakupapasa kichwa ILI KUHAKIKISHA KWAMBA WEWE NI KIPARA.Jamaa mmoja alitaka kupita lakini alikuwa hana kipara.Akavua suruali yake na kushusha chupi yake kidogo.Akapita ****** yake yakiwa juu.Yule mlinzi kama kawaida yake akampapasa,kwa bahati mbaya akamtia kidole cha ******.Kisha mlinzi akamuuliza yule jamaa mbona mnapita wawili wawili na huyu mmoja ananuka mdomo.Inaonyesha hajapiga mswaki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom