real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga amewashangaa wabunge wa upinzani kumkosoa rais kuhusu tume na ripoti ya makanikia
Amesema kuna mtu anamjua alikuwa kinara wa kupiga kelele mchanga usisafirishwe nje lakini sasa wamegeuka tena
Amesema wazungu wamekuja bungeni na kuwapulizia wabunge ndio maana wamebadilika ghafla
Mheshimiwa huyo pia alizungumzia TANESCO kukata umeme gerezani kisa kutokulipa sio vizuri maana kuna mambo ya ajabu yanafanyika gerezani hata kukiwa na mwanga, sasa wakikata umeme itakuwa ni hatari zaidi