Mlimba: CCM wawavamia usiku viongozi wa CHADEMA na kuwakata mapanga kisa wamechukua fomu za uchaguzi

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Hapo ni jimbo la Mlimba kitongoji cha Mkuyuni. CCM waliitishia familia ya mgombea wa CHADEMA wa kitongoji jana. Leo Viongozi hao wameripoti kuwa Jana usiku walivamiwa na kujeruhiwa na watu wa CCM.

∆ Tutajibu.
Hii vita CCM hamtoweza.
#virtusNkuna
FB_IMG_1572547370286.jpg
FB_IMG_1572547365629.jpg
 
Wanaofanya vitendo hivi ni wahalifu kama wahalifu wengine. Wadhibitiwe kama kawaida, awe CCM, mtumishi wa serikali au yeyote yule anayejipendekeza kwa mwavuli wa chama au serikali.
Ni ujinga wa kiwango cha juu kabisa kuwaacha wahuni na magenge yao watese raia kwa jina la chama au serikali.
Kila mwananchi ana wajibu wa kuwadhibiti wahalifu kabla ya msaada wa polisi ikiwezekana.
 
Kwa taarifa yako wapinzani huwa wanafanyiwa huu ukatili mara zote kwenye chaguzi mbalimbali hapa nchini, na vyombo vya dola huwa vinajua na hivichukui hatua yoyote. Sana sana utasikia hao watu wa cdm walioumizwa ndio wanawekwa ndani.
 
Hapo ni jimbo la Mlimba kitongoji cha Mkuyuni. ccm waliitishia familia ya mgombea wa Chadema wa kitongoji jana. leo Viongozii hao wamerepoti kua Jana usiku walivamiwa na kujeruhiwa na watu wa CCM.
∆ Tutajibu.
Hii vita CCM hamtoweza.
#virtusNkuna
View attachment 1250276View attachment 1250278
Hivi sasa nchi yetu imeingia katika siasa za kishenzi sana!

Mbaya zaidi ni kuwa "mastermind" wa upuuzi wote huu ni Jiwe mwenyewe!

Halafu utashangaa watu hao hao unawaona kila Jumapili wakienda makanisani kujidai eti wanamuomba Mungu!

Tunawaeleza hao watu kuwa Mungu hajawahi fanyiwa usaniii wa aina hiyo
 
Poleni sana mliopata majanga. Siamini kama ni Siasa tu. Viongozi husika wakuu wa vyama wajitokeze kukemea haya mambo. Haya mambo si ya kusema Mungu asaidie. Ni sisi mwenyewe
 
Hapo ni jimbo la Mlimba kitongoji cha Mkuyuni. ccm waliitishia familia ya mgombea wa Chadema wa kitongoji jana. leo Viongozii hao wamerepoti kua Jana usiku walivamiwa na kujeruhiwa na watu wa CCM.
∆ Tutajibu.
Hii vita CCM hamtoweza.
#virtusNkuna
FB_IMG_1572547365629.jpg
FB_IMG_1572547370286.jpg
 
Hapo ni jimbo la Mlimba kitongoji cha Mkuyuni. ccm waliitishia familia ya mgombea wa Chadema wa kitongoji jana. leo Viongozii hao wamerepoti kua Jana usiku walivamiwa na kujeruhiwa na watu wa CCM.
∆ Tutajibu.
Hii vita CCM hamtoweza.
#virtusNkuna
View attachment 1250276View attachment 1250278
Dah! Kuna watu wanadhani ccm yao ni zaidi ya utu na ubinadamu, ila wacha Tz yetu waifikishe wanakotaka ifike, wacha wamwage damu za watz wenzao maana kuna siku zaja, ambapo damu zao naza ndg zao zitakuwa fidia ya hiki wanachokipanda sasa.
 
Back
Top Bottom