lukatony
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 667
- 522
Ulimzaa wewe ukiwa na miaka 9?Thanks mkuu, mtoto wa ujanani kazaliwa 2007.
Ulimzaa wewe ukiwa na miaka 9?Thanks mkuu, mtoto wa ujanani kazaliwa 2007.
Ungeoa ukiwa na miaka kumi na nane, mtoto wako angekuwa langapi?hata mimi nimeshangaa.. nimemaliza la 7 mwaka 2000.. now nipo around 30s nimezaa mapema tu. ila mwanangu hata la 3 hajafika.. niliwaza huyu aliemaliza miaka miwili mbele yangu.. ana mtoto kamaliza la saba , tena sio yeye peke yake na classmate wake ana mtoto kamaliza la saba nikajua chai tu
Wanasema ukiwa hauna pesa,kila mwenye pesa utamuona anatumia vibaya.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
I can't say that ur wrongWanasema ukiwa hauna pesa,kila mwenye pesa utamuona anatumia vibaya.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Inawezekana!hata mimi nimeshangaa.. nimemaliza la 7 mwaka 2000.. now nipo around 30s nimezaa mapema tu. ila mwanangu hata la 3 hajafika.. niliwaza huyu aliemaliza miaka miwili mbele yangu.. ana mtoto kamaliza la saba , tena sio yeye peke yake na classmate wake ana mtoto kamaliza la saba nikajua chai tu
Mwamba alikuwa kichwa hatari, sijui saiv yuko wapiAlikua mkali jamaa.
MkuuKuna mdada alisoma shule za hela, mimi nimesoma shule ya serikali,
akiwa anaongea english mpaka nilikuwa najistkia muda mwingine.
Tulikuta kidato cha kwanza, akiwa anaongea kingeleza mpaka nikawa naogopa.
Mtihani umefika, ule wa kidato cha pili, masikini hata haonekani, amefeli vibaya sana.
Kumbe ni kingeleza cha kuongea tu, lakini mambo mengine namzidi mno