Mlimani Primary School

hata mimi nimeshangaa.. nimemaliza la 7 mwaka 2000.. now nipo around 30s nimezaa mapema tu. ila mwanangu hata la 3 hajafika.. niliwaza huyu aliemaliza miaka miwili mbele yangu.. ana mtoto kamaliza la saba , tena sio yeye peke yake na classmate wake ana mtoto kamaliza la saba nikajua chai tu
Ungeoa ukiwa na miaka kumi na nane, mtoto wako angekuwa langapi?
 
Wenye njaa bana huwa mna ukomo wa kuwaza mtu ana mihela kedekede unamuambia asipoteze hela yake ampeleke mwanae mlimani pr school
 
hata mimi nimeshangaa.. nimemaliza la 7 mwaka 2000.. now nipo around 30s nimezaa mapema tu. ila mwanangu hata la 3 hajafika.. niliwaza huyu aliemaliza miaka miwili mbele yangu.. ana mtoto kamaliza la saba , tena sio yeye peke yake na classmate wake ana mtoto kamaliza la saba nikajua chai tu
Inawezekana!
Kuna mwingine akimaliza la 7 tu mimba au anampa mtu mimba
Tufanye kamaliza na 18
Akifika 30 hapo mtoto ana 12
Watoto Siku hizi wanawahi shule
Hiyo ni tofauti na yule aliyemaliza la 7,kaenda sec 1-6 kapiga Chuo kamaliza kapata ajira ndio akazaa
 
Kuna mdada alisoma shule za hela, mimi nimesoma shule ya serikali,
akiwa anaongea english mpaka nilikuwa najistkia muda mwingine.
Tulikuta kidato cha kwanza, akiwa anaongea kingeleza mpaka nikawa naogopa.
Mtihani umefika, ule wa kidato cha pili, masikini hata haonekani, amefeli vibaya sana.
Kumbe ni kingeleza cha kuongea tu, lakini mambo mengine namzidi mno
Mkuu

Huyo alikuwa anajua kingeleza ndomana alifeli...

Naamini kama angekuwa anajua kingereza mbona angefaulu vizuri tu

Natumai nimeeleweka
 
Back
Top Bottom