Mlimani City

Labda useme madent,mke gani atakubali akafanyie appointment mlimani city sehem ambayo kila mtu anaenda na hata kama ukiwa mgeni huchukui round unakutana na mtu mnaefahamiana
hufahamu chocho za wake za watu, mjini form Six.
Wanawake kibao wanakunjwa parking, unakuta kaja na watoto wapo sinema jamaa anam'micha kwenye gari
 
Japo nipo karibu na hii sehemu, ila sipendi kwenda hapo. Sijui kwanini.
 
Japo nipo karibu na hii sehemu, ila sipendi kwenda hapo. Sijui kwanini.
Sababu za wewe kuchukia Mlimani City Hizi hapa:

1.Huna hela.
2. Huna hadhi ya wanaokwenda pale.
3. Inferiority complex.
4.wivu wa kijinga/ kike.
5.Demu wako aligongewa pale parking.
6. Hujui kingereza, mind you wengi wanaokwenda pale wanaongea ki-beberu.
7. Una demu/mke lakini yupo valu-valu na kutembea naye unaona aibu.
8. Limbukeni na huna ustaarabu, huwezi kuingia KFC na kula Pizza kwakuwa unaona unapoteza fedha.
 
1.Huna hela.
2. Huna hadhi ya wanaokwenda pale.
3. Inferiority complex.
4.wivu wa kijinga/ kike.
5.Demu wako aligongewa pale parking.
6. Hujui kingereza, mind you wengi wanaokwenda pale wanaongea ki-beberu.
Namba 5 ndo umemgusa zaidi...
 
Hao wanaosema ni malawi watakua wanawashwa....naiona samaki samaki...kituo cha bus cha survey kwenda chuo...etc
IMG-20200919-WA0013.jpg
 
1.Huna hela.
2. Huna hadhi ya wanaokwenda pale.
3. Inferiority complex.
4.wivu wa kijinga/ kike.
5.Demu wako aligongewa pale parking.
6. Hujui kingereza, mind you wengi wanaokwenda pale wanaongea ki-beberu.
hakuna lolote ulilopatia hapo.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom