moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,900
- 4,865
Nimeipiga Jana ...
Mkuu huoni magodawn hayoNdio hiyo parking..? Mjengo wenyewe uko wapi?
😂 Nani alitoa ramani..??Mkuu huoni magodawn hayo
Robo ya Ma -pisi ya Dar yanayogongwa appointment hufanyikia hapa.Nimeipiga Jana ...View attachment 1571121
AstaaaaaqfillahRobo ya Ma -pisi ya Dar yanayogongwa appointment hufanyikia hapa.
Hapana, kwa saa moja unalipa 500, posta bei ni hiyo hiyo, kwanini upaki hapo uende Posta?DSM magari ni mengi kuliko watu, hapo kuna wahuni wamepaki magari yao alaf ofisi ipo Posta Mpya
Acha tuu mkuuuNani alitoa ramani..??
Sprit gani hiyo inanywewa na Popcorn?Kipindi nasikia neno mlimani city na lilivyokua linapambwa nikafikiri ni sehemu rafiki kwa kila raia,hyo siku nimetokea zangu mkoan kwetu nikaamua kwenda kupatembelea si nikaenda sehemu ya kichek movie nikaagiza sprit take away na papcon kwenye malipo si nikahisi mhudumu kasahau alicho nihudumia.
Si ndo hiyo slope...huoni hizo bati?Ndio hiyo parking..? Mjengo wenyewe uko wapi?
Una kibali cha kurusha drone!?Nimeipiga Jana ...View attachment 1571121
Labda kamaanisha Sprite,soda.mwanzo nilidhani spirit kama wewe.Sprit gani hiyo inanywewa na Popcorn?
Kwani huo mtindo bado upo? Saivi parking sio free baada ya masaa kadhaa mkuu.DSM magari ni mengi kuliko watu, hapo kuna wahuni wamepaki magari yao alaf ofisi ipo Posta Mpya
Labda useme madent,mke gani atakubali akafanyie appointment mlimani city sehem ambayo kila mtu anaenda na hata kama ukiwa mgeni huchukui round unakutana na mtu mnaefahamianaHapana, kwa saa moja unalipa 500, posta bei ni hiyo hiyo, kwanini upaki hapo uende Posta?
Hapo ni sehemu za miadi za kukutania wake za watu na vi-ben 10, wake za watu wanagongewa sana maeneo hayo na guest za Sinza.
Pia kama unataka kijana wa chuo hapo ndio unapopatia.