Mlimani City: Mkenya abebeshwa bango baada ya kujaribu kuiba begi.

lil wayne

JF-Expert Member
Apr 15, 2016
992
904
Msichana kutoka Kenya alazimishwa kutembea na bango hili baada ya kudaiwa alijaribu kuiba begi Mlimani City, Dar es Salaam.

Bango hilo liliandikwa "Mimi ni mwizi kutokea Kenya".

44d5e1897f5071d85062943e76824c73.jpg

Mungu aliumba binadamu na kusema "enendeni ulimwenguni mkazaliane".

Ila wakenya walipewa agizo la ziada "enendeni ulimwenguni mkazaliane na kuiba"
 
Tutaanza kufananisha sura, halafu tukosee..Bora wangeweka jina lake kwenye hilo bango kama wale waliokuwa wanachepuka kwenye barabara za magari ya mwendo kasi. .
 
Tutaanza kufananisha sura, halafu tukosee..Bora wangeweka jina lake kwenye hilo bango kama wale waliokuwa wanachepuka kwenye barabara za magari ya mwendo kasi. .
Upo sahihi. Atujui huko wabongo nchi zingine wanafanya nini, maana hakuna nchi watakatifu.

Ila magu amekaba hadi watu wanaiba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom