ZENITH
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 908
- 604
Mlimani city ya mzaramo,wewe kabila lako ni la mkoa gani?Mmhh!wasukuma bwana hako kamji kenu ht mkononi hakajai kupata kamall kamoja bas hatuna raha loooh!
Pambaneni na rock city yenu
Tujuze kwanza,halafu utuambie Kuna Mall gani huko ya kutisha?
Mimi kwetu Mbeya,hatuna Mall yoyote ya maana.