Mlima kilimanjaro wapaa kwenye yahoo

And this is why.
articleLarge.jpg

http://www.nytimes.com/2009/11/03/world/africa/03melt.html?_r=2&partner=rss&emc=rss
 
Ni kweli nimetoka Amsterdam hadi kilimanjaro kwenda Dar watu wote wameshuka kili airport kwa vigeregere baada ya kuambiwa ndo kilimanjaro about 400 wazunguzi.but serikali yetu sijui kama ina mkakati wowote maana kili airport yenyewe ni aibu afadhali hata tulitua usiku!!!!
 
Tatizo serikali yetu bado ina ng'ang'ania wafanyakazi wenye mawazo mgando unaweza ukapaa na tusiambulie kitu wao wapo wapo tu yaani wanatushinda Burundi wao wana sokwe tu katika sekta ya utalii lakini wanaingiza pato kubwa kuliko sisi wenye vivutio kibao.
 
its true nchi hii ukiwa na mawazo mgando ndo unapendwa na kuwekwa ktk maamuzi muhimu, hatutaki challenges zinazotokana na mawazo thabiti na angavu,kuogopa kuwa busy, kutopata hela za kuchota na kwa mtindo huu hatutaenda popote, hata ardhi yote iwe covered na gold tanzania hatuendi popote, Kagame anachagua vichwa hata tz anaiba wataalamu kibao, u see anasonga mbele, but hapa duh chingunge then mwanae,luhanjo hence mwanae,jk atafuata mwanae, makamba then mwanae, nchimbi yupo mwanae, mwinyi then mwnae,so nchi haina new gene ni yalee ya mtoto wa nyoka nyoka tuu!we have everything but hoops, as if we are cursed!
 
Glacier loss on Kilimanjaro continues unabated, fungua attachment kusoma report kamili.

Attachments

  • Kilimanjaro Glacier loss.pdf
    1.4 MB · Views: 31
Hivi ni kwanini baadhi ya watalii wanajua huu mlima uko kenya ..nina rafiki yangu mmoja nilimwelewesha nikachoka yeye anajua huu mlima uko kwa kina lucy kibaki y kwa nini??
 
Ni kweli nimetoka Amsterdam hadi kilimanjaro kwenda Dar watu wote wameshuka kili airport kwa vigeregere baada ya kuambiwa ndo kilimanjaro about 400 wazunguzi.but serikali yetu sijui kama ina mkakati wowote maana kili airport yenyewe ni aibu afadhali hata tulitua usiku!!!!

KILI Airport kuna aibu gani? Afadhali ya kili kuliko JNIA! uliza utaeleweshwa
 
sasa hivi wana matangazo yao huko Kenya eti Mt. Kilimanjaro is in Tanzania but the best look is from Kenya. Jamaa wamefaidika sana na Huu mlima sasa ndo tunazinduka na barafu inayeyuka hiyooooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom