kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,011
- 11,942
Ikiniengo kya matarakatasi.
umenikumbusha ma BERINGI Isanga stendi ya Chunya early 80s
Isanga, Nonde, Mabatini na Soko Matola walikuwa wanaongoza kwa tabia mbayaDu!!! Huko kwenu kulikuwa wezi balaa,kwa wasela nondo.
Mpira wa wazungu!na gozi la ukweli mlikuwa mkiliitaje?
Tulikua tuna pika na ubwabwa, mchuzi mwingi..... Unaweza ona ngumu kuku mmoja watu 11, ki uswazi iliwezekanawatu zaidi ya kumi na moja mnamlaje kuku mmoja?
GOZI:A S soccer:
Mpango mzima green city MBY