Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,834
- 155,783
Huo ni mpira wa 'ananga' pande zilee..
Kin'yenga hicho!!!
na gozi la ukweli mlikuwa mkiliitaje?GOZI:A S soccer:
Kin'yenga hicho!!!
MWANJELWA AU IYUNGA? Najua wewe ni wa MBY tu
kinyengo
Inawezekana wewe tunatoka sehemu moja. Na sisi tuliita jina hilo hilo