Aisha ziaka
Member
- Jun 6, 2016
- 46
- 62
HahahahahahNgoja waje wenye ndoa zao....tunaodanga tutatoa majibu tukishaolewa na kuoana
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahahNgoja waje wenye ndoa zao....tunaodanga tutatoa majibu tukishaolewa na kuoana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja waje wenye ndoa zao....tunaodanga tutatoa majibu tukishaolewa na kuoana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila kinachoandikwa unakichukulia serious Mara nyinyi humu tunafurahisha genge ....Kama kweli una tabia ya kumchuna pesa kila mwanaume anaekutongoza, basi itakuwa vigumu sana kwa ww kupata mwanaume atakaekuoa zeshchriss
Usikute wewe ni Amber ruttyWadau mlikutana wapi na mpenzi wako kwa mara ya kwanza akakuvutia kipi tofauti hadi ukakubali kumuoa/kuolewa naye?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama haupo serious usicomment